Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,913
- 10,719
Liver wana niumiza kichwaa sana
Unajua dogo nilikuwa nakuona wa maana
ila nikwambie tu, kubishana na madogo Kama nyie ambao bado akili haijapevuka ni matumizi mabaya ya akili
Wewe dogo nikirusha picha yako humu kila mtu anaweza jua nini namaanisha, wewe bado dogo sana, hatulingani hata kidogo sawa mdogo wangu
Usiumie kichwa mkuu, umia moyo.Liver wana niumiza kichwaa sana
Bwana avatar jipange dawa kuingia Y.W.N.ALiver wana niumiza kichwaa sana
hahaha na kilichowapata wenzao mambo ya kimya kimya hayafaiWameamua kupiga Mayowe hatimae mwizi anawatoroka
Habari zenu wakuu
Wakuu nipo huku Bedok huku ni makalioni mwa Dunia kabisa
Nami leo natamani sana niangalie huu Game yetu kuna mtu ambaye anaweza nisaidia Wakuu
Msaada tafadhalini Wananzengo wenzaguni
Kama kuna mtu anaweza nisaidia niweze kuangalia hii game ntashukuru Sana wakuu
#Liverpool 4Life
#YNWA
yeah na App Store piaUnatumia Android?
yeah na App Store pia
. Daaaah Ahsante sana mkuu kwa msaada wako tena mara ya pili hii tena unanisaidia barikiwa sana na Mungu kwa pamoja TUSEME KWAPA JUU TENAKwa Android download app inayoitwa Burma TV au Mobdro.
Mobdro:
Mobdro unaipata kutoka Google, usiende playstore. Ukishaipata humo utapata channel kibao za game.
Game yetu sijaangalia bado lakini either Sky Sports TV - Main Event au BT Sports. Ukikosa hapo nenda kwenye BeIN Sports TV channels lazima kuna channel itaonesha game.
Burma TV:
Hii pia unaipata Google, yenyewe itakupa updates za live game.
. Daaaah Ahsante sana mkuu kwa msaada wako tena mara ya pili hii tena unanisaidia barikiwa sana na Mungu kwa pamoja TUSEME KWAPA JUU TENA
#Liverpool 4Life
#YNWA
Kwa hiyo tuanze kunyoa nywele za kwapani mkuu. Daaaah Ahsante sana mkuu kwa msaada wako tena mara ya pili hii tena unanisaidia barikiwa sana na Mungu kwa pamoja TUSEME KWAPA JUU TENA
#Liverpool 4Life
#YNWA
Mkuu usinyoe Zisafishe 2 ziwe safii Mana Tutanyanyua Mara mbili UEFA na EnglandKwa hiyo tuanze kunyoa nywele za kwapani mkuu
Mkuu usinyoe Zisafishe 2 ziwe safii Mana Tutanyanyua Mara mbili UEFA na England
Big Sam ni expert kwenye kunusuru Timu zisishuke DarajaIsTujikumbushe...
Sam Allardyce was last Prem boss to beat Liverpool at Anfield 1,344 DAYS ago… he did so while managing Crystal Palace winning 2 - 1 that was on April 23, 2017.
Astonishingly, Jurgen Klopp’s Reds have not lost a top-flight home game since.
But doubts he’ll do it with West Brom saying miracle is needed.
Allardyce said: “If we can get a result, if we miraculously get a victory over Liverpool at Anfield — which could happen at any time in this league — it will be a wonderful achievement by the players.
Big Sam the animated gaffer just like our Klopp..
Whats a game...
YNWA