Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sancho will never give us a Salah like for like replacement there are times anakua AWOL ...

Nimeona pia Jack Grealish name being thrown right and left...

We have pipped our competitors with some shrewd signings that has performed wonders well we ain't prone to failures if not well addressed...

Whats a busy tricky 2021 June will be for the Edwards the genius...

YNWA
LFC dominance ipo katika mikono ya FSG, Klopp or Edwards wont help at all kama tuta-fail kwenye adjustment plan, kama FSG watashindwa kum-back Klopp kwenye his plans, then ni lazima.tutafail.

Grealish is a very very very good player, but i'd sign him kama addition kwenye team na siyo kwaajili ya ku-replace our star-players.
 
Sijui Ni mapenzi yangu kwa huyu mwamba sadio mane Ila kwa hiyo misimu miwili au mitatu nadhani hata messi, Ronaldo,mbape,neymar.hawajawa na maajabu Sana kwenye club zao Ila sijui Ni uafrika ndio inshu kwa huyu jamaa.... mwingine namuona lewandoski Kama mtu anaefanya makubwa Sana Ila sijui kwann aheshimiki anavyostahili japo this time around wamempa hiyo tuzo.
Kuna wanaomini bila kufunga basi hana uwezo wenye uwezo status zinasoma.
 
Yaani kazi anayoifanya Fabinho aisee, kama vile namba ni yake ila hazungumzwi kabisa.

Na hii inawaumiza wachezaji kwenye issue za endorsements.

Kilichobakia ni Mke wake tu Rebecca Tavares anajitahidi kumpigia Debe her Husband FABINHO lakini tembelea Tweets zake uone wanaolike na kureply na Wabrazili na Waafrika watupu. Waingereza hata hawana issue naye

Lakini angalia Tweet inayomuhusu Hendo uone Waingereza wanavyotiririka na replies.
 
vingine mnasingizia tuu uingereza, ishu ya Mo salah pengine ni mkataba, ana miaka 28 mkataba umebaki 2yr, maana yake mpaka uishe atakua na 30, sasa hapo ni ngumu kupewa tena mkataba wa miaka walau mitatu, akiangalia mshahara anaolipwa 200k walau atishie nyau apewe mitatu mingine ya 300k kama kina rashford unyumbuni kule

Hivi mimi nina kawaida ya kuandika posts za Mikataba ya wachezaji?

Umejibu wrong answer kwa wrong Person.
 
LFC dominance ipo katika mikono ya FSG, Klopp or Edwards wont help at all kama tuta-fail kwenye adjustment plan, kama FSG watashindwa kum-back Klopp kwenye his plans, then ni lazima.tutafail.

Grealish is a very very very good player, but i'd sign him kama addition kwenye team na siyo kwaajili ya ku-replace our star-players.
FSG are now addicted to Edwards magic purchases delivering wonders without even the big names and small price tags when approaching them...

The data guy Ian Graham Director of Research help predict future form of this players even expected goals, defence tactical awareness etc this makes Klopp and Edwards to agree who to buy.. Klopp and Edwards work really well this guy even at times do profiling the next games and furnishing Klopp the danger expected..

Actually this guys even had a hand in Klopp getting the Liverpool job and Klopp is ever grateful in loads... If we all remember Klopp last season at Dortmond was disaster but according to the Graham guy Dortmond Klopp could have win the league if he had the right players as they created lot of chances but they were not lucky and as clinical and lethal in front of goalie.. Tazama alichokisema kuhusu Klopp msimu wake ma mwisho Dortmond "Our owners and me and all my colleagues were huge fans of Jurgen and his Dortmund team in the early 2010s. They played the most exciting brand of football in Europe, and not coming from a place of financial dominance. They won the German Bundesliga twice at a huge financial deficit to Bayern Munich, and so he was always one of our dream hires as manager. But his last season in Dortmund was disastrous, they were in the relegation zone, and the German media said it was all over for Dortmund, Klopp's lost it. There's no way back for them. Our analysis showed something quite different: they were still clearly the second-best team in Germany but the performances did not match the results. I analysed ten seasons of Bundesliga performances and Dortmund were the second-unluckiest team in that ten-year history, it was just some terrible luck which cost Jurgen that season".

So this guy who work behind the scenes do a lot of profiling with the expected purchases of players liaising with Klopp and Edwards to offer thier data research side of the player... He is very highly rated at the Club.

Tazama moja ya interview yake akielezea anachokiangalia zaidi "It's important to say signing a player is a multidisciplinary exercise, you have the traditional methods of scouting, some newer methods of video scouting, coaches and the manager have to be on board and enthusiastic about the player. My role is the data analysis side of analysing football, which is a newer side, and the sort of players I really like are players who shine through in the data, but don't naturally shine through for your typical football fan or typical scout. Awkward, ungainly players, or players who have been overlooked, for various other purposes. One of my favourite players is Andy Robertson, our left back, one of the best left backs in Europe and now European champion, of course.

"We try to put everything into one currency, so football is measured in goals, it's what gets you a win. We try to take whatever action a player does on a pitch - a pass, a shot, a tackle if you're a defender - and ask the question: what was this team's chance of scoring a goal before this action happened, and what was the team's chance of scoring a goal after that action happened? We call that Goal Probability Added (GPA), which is a really catchy name, and so the thing I'm really obsessed about is the risk/reward pay-off of passes.

Quantifying output beyond the simple metrics like goals and assists is vital, and also makes our own populist analytics seem so insignificant by comparison. While the likes of xG (expected goals) and xA (expected assists) can be used by any supporter with access to that sort of data, Liverpool have concocted their own, bespoke metrics. It is a mentality which keeps them ahead of the analytical game".


Lets see...
Wamesaidia sana Liverpool kuwapata wachezaji bora kabisa tena kwa bei chee tazama Coutinho, Robertson, Sturidge, Gini, Salah, nk..

Unless for PR purposes sioni Liverpool wakiingia sokoni ili mradi kununua.. Wamekua wavumilivu kuwapata wachezaji wanaowahitaji na hakuna tena ile panic buy...

Lete be patient enough that FSG wont abandon whats has worked well for the club thinking Klopp is a miracle worker.. He need the right players to deliver and at the right time hii itamsaidia to remain competitive...

YNWA
 
vingine mnasingizia tuu uingereza, ishu ya Mo salah pengine ni mkataba, ana miaka 28 mkataba umebaki 2yr, maana yake mpaka uishe atakua na 30, sasa hapo ni ngumu kupewa tena mkataba wa miaka walau mitatu, akiangalia mshahara anaolipwa 200k walau atishie nyau apewe mitatu mingine ya 300k kama kina rashford unyumbuni kule
Hakuna hizo 300k

Wanapewa British shaggy players like rashford
 
Kilichobakia ni Mke wake tu Rebecca Tavares anajitahidi kumpigia Debe her Husband FABINHO lakini tembelea Tweets zake uone wanaolike na kureply na Wabrazili na Waafrika watupu. Waingereza hata hawana issue naye

Lakini angalia Tweet inayomuhusu Hendo uone Waingereza wanavyotiririka na replies.

Noma sana, kinachoniboa ni vile hadi Klopp anakuwa managed na hizo politics.
 
ALISTAHILI => Haya maneno yanapatikana Tanzania tu lakini si kwa Salah.

Salah hakuwahi kutumia neno 'Stahili' (Deserve) bali alisema nilitarajia 'Hope' means kutokea kwake yes or no.

Usimlishe maneno yako

Anaetoa ukapten ninani kwenye tim?
Aliposema alistahili inamaa alietoa kakosea. Inakua kamkosoa

Salah alikuwa ameshaambiwa mapema kwamba atakuwa captain kwa sababu Hendo, Milner, VVD na Gini hawakuwepo.

Ila gia ikabadilishwa dakika za mwishoni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom