Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Uzuri business model.ya LFC ni zaidi ya manager

Only one will be allowed to leave in one window, and replacements zinakua zimetengenezwa...

Commercially, you'd make more money with Salah so he is more likely to start leaving
I'm not against na suala la Salah kuuzwa/kuondoka, at the end of the day kila mtu anatakiwa aangalie maslahi yake binafsi kwanza.

Lakini, kuondoka kwa Salah kunafakiwa kulete positive impact kwa Club, sasa kama tutatumia hela ya Salah kununua wachezaji zaidi ya watatu, it means replacement yake haitakuwa bora kama yeye, and huo ndiyo wasiwasi wangu, because ndiyo utakuwa mwanzo wa kuanza ku-struggle, na wasiwasi wangu mkubwa zaidi ni kuwa tunaandaa team ya aina gani kwaajili ya STEVIE G? kama akikuta team yenye front 3 ya Sancho-Jota- Elliot, will he be capable of firing us to the top?

And, if watu wanafikiria kuwa Jota ni backup player wapo wrong sana, he's part of adjustment plan, kanunuliwa kwaajili ya kuwa moulded kwenye front 3 slowly, he's a natural LW (kama Mane), so in the near future unaweza kuwa ni Mane's initial replacement.

kuna article nyingi naziona kuwa, we will be fine with front 3 ya Jota-Sancho-Elliot in few years time, hii ni disaster, personally i think Jota will be a big succes at the club, but he will need a big star alongside him upfront, not Sancho.

BUT, who knows man, i'm just a fan.
 
Adjustments.jpg
 
Man, ndiyo maana kwenye article yangu, nikasema MANE ni topic ya siku nyingine.

People actually dont know, kuwa kipindi kile ambacho Messi alimpigia kura za FIFA best men award na BDO, Mane alikuwa mad dhidi ya Club kwa kushindwa kum-market vizuri through Club's media PR, he thought the Club didnt do enough for him and he was right.

Suala la Mane ni la siku nyingine, BUT these dudes are not appriciated well enough, na kama watu wanafikiri kina Sancho watakuja na kuweza ku-replace output za hawa monsters, then they're so wrong.
tukiwapoteza Mane na Salah aisee itakua kilio na kusaga meno!......

soko la leo huwezi wapata hao wawili kwa wakati mmoja, AND i believe Mane (kwa misimu hii mitatu) amekua bora kumzidi hata Kylian Mbappe!.......
 
I'm not against na suala la Salah kuuzwa/kuondoka, at the end of the day kila mtu anatakiwa aangalie maslahi yake binafsi kwanza.

Lakini, kuondoka kwa Salah kunafakiwa kulete positive impact kwa Club, sasa kama tutatumia hela ya Salah kununua wachezaji zaidi ya watatu, it means replacement yake haitakuwa bora kama yeye, and huo ndiyo wasiwasi wangu, because ndiyo utakuwa mwanzo wa kuanza ku-struggle, na wasiwasi wangu mkubwa zaidi ni kuwa tunaandaa team ya aina gani kwaajili ya STEVIE G? kama akikuta team yenye front 3 ya Sancho-Jota- Elliot, will he be capable of firing us to the top?

And, if watu wanafikiria kuwa Jota ni backup player wapo wrong sana, he's part of adjustment plan, kanunuliwa kwaajili ya kuwa moulded kwenye front 3 slowly, he's a natural LW (kama Mane), so in the near future unaweza kuwa ni Mane's initial replacement.

kuna article nyingi naziona kuwa, we will be fine with front 3 ya Jota-Sancho-Elliot in few years time, hii ni disaster, personally i think Jota will be a big succes at the club, but he will need a big star alongside him upfront, not Sancho.

BUT, who knows man, i'm just a fan.
Replacing salah-mane-firmino with jota-sancho-elliot is disrespectful to football
.anyone writing that is an asshole
 
I hope niwe so wrong about this, but am sure we're looking at him as Salah's replacement.

Time will tell.
Sancho will never give us a Salah like for like replacement there are times anakua AWOL ...

Nimeona pia Jack Grealish name being thrown right and left...

We have pipped our competitors with some shrewd signings that has performed wonders well we ain't prone to failures if not well addressed...

Whats a busy tricky 2021 June will be for the Edwards the genius...

YNWA
 
tukiwapoteza Mane na Salah aisee itakua kilio na kusaga meno!......

soko la leo huwezi wapata hao wawili kwa wakati mmoja, AND i believe Mane (kwa misimu hii mitatu) amekua bora kumzidi hata Kylian Mbappe!.......
Sijui Ni mapenzi yangu kwa huyu mwamba sadio mane Ila kwa hiyo misimu miwili au mitatu nadhani hata messi, Ronaldo,mbape,neymar.hawajawa na maajabu Sana kwenye club zao Ila sijui Ni uafrika ndio inshu kwa huyu jamaa.... mwingine namuona lewandoski Kama mtu anaefanya makubwa Sana Ila sijui kwann aheshimiki anavyostahili japo this time around wamempa hiyo tuzo.
 
Mbona Salah wanamtreat freshi tuu, Ile nyimbo ya Mo Salah! mbona Henderson trent hawaimbiwi kama ni uingereza? mbona hata kwenye mshahara hakuna muingereza liverpool anayemzidi Mo salah, mbona hata swala la penati ni kama tuu kaachiwa yeye kama star wa timu. Mbona kabeba tuzo binafsi nyingi tuu kuwashinda hao waingereza, fan player of the year si kawa yeye juzii, anataka nini zaidi?

Kwani tunzo zinatolewa na Waingereza?
 
Kuna namna namwona Sadio Mane akituacha, jamaa haongei lakini kwa mwonekano tu anaonekana hana furaha kabisa.

Kati ya watu natamani kuwaona wakiwa mahali wanakotakiwa kupewa thamani ya wanacho-offer ni Sadio, jamaa anafanya zaidi ya tunachomwomba kufanya lakini bado sioni kama anapata recognition in same way.

Nikilinganisha yeye na Salah, naona kuna namna Salah anaweza kuji-express kama kitu hajakipenda na hiyo walau inakuwa inampa favor kiasi, sikuwahi kujua kuhusu kile ulichoandika kwamba hawi favored na timu na medias ambazo ni team related.

Hawa jamaa ndiyo injini kubwa sana ya timu, lakini tunavyowatendea kuna muda hadi huwa nawaza ujinga tu kwamba Sadio Mane aondoke akainjoi maisha kwingine.

Fungua Article ya Kiingereza yoyote utaona picha ya Hendo kabeba Kombe na maneno ya kuwa anaibeba Timu katika mabega yake kuifikisha kwenye Mafanikio.
Na kila game wanamrate juu kabisa kuliko wale waliofunga magoli.
Kina Mane na Salah tutaishia kuwasifu sisi Waafrika.
Kwa bahati mbaya hata sisi waafrika tunawashambulia Salah na Keita.

Na kuna huyu FABINHO ndiyo mwenzangu mimi mwenye Nyota ya Kunguni.

Sasahivi Fabinho anatubeba kwa mabega yake utadhani ni pacha ya VVD, lakini pitia kurasa zote za Kingereza kama utaona akitajwa. Mwisho anaishia kusifiwa na Mke wake Rebecca kwenye Twitter.
Then Waafrika tumekuwa Brainwashed na Waingereza na kuanza kuwaponda Waafrika wenzetu.

Haya Salah na auzwe!
 
Lazima ufurahi, hasa ukikumbuka namna alivyotumia kikosi cha pili kuwapoka ubingwa na kumpa City. Spurs siyo quality ya Liverpool kwa sasa. Hata hiyo pressure ya ubingwa tuliyoweka mpaka kabla ya game tatu zilizopita ni Mourinho master class pekee. Labda uniambie ni kocha gani angepigania ubingwa na kikosi yenye hawa akina Dele Alli, Harry Winks, Mousa Sissoko, na Lucas Moura waliochuja.

Kuhusu Son au Kane kuumia hakuna shabiki wa Spurs anataka kusikia kitu kama hicho maana kila anayeijua Spurs anajua bado imejengwa kuwazunguka hao.

Finally umeshaujua ukweli
 
Fungua Article ya Kiingereza yoyote utaona picha ya Hendo kabeba Kombe na maneno ya kuwa anaibeba Timu katika mabega yake kuifikisha kwenye Mafanikio.
Na kila game wanamrate juu kabisa kuliko wale waliofunga magoli.
Kina Mane na Salah tutaishia kuwasifu sisi Waafrika.
Kwa bahati mbaya hata sisi waafrika tunawadhambulia Salah na Keita.

Na kuna huyu FABINHO ndiyo mwenzangu mimi mwenye Nyota ya Kunguni.

Sasahivi Fabinho anatubeba kwa mabega yake utadhani ni pacha ya VVD, lakini pitia kurasa zote za Kingereza kama utaona akitajwa. Mwisho anaishia kusifiwa na Mke wake Rebecca kwenye Twitter.
Then Waafrika tumekuwa Brainwashed na Waingereza na kuanza kuwaponda Waafrika wenzetu.

Haya Salah na auzwe!
Nimecheka mwenyewe hapa ndugu...

Naona na humu Hendo the bam maneno yale ya msimu uliopita yamesahaulika haha.. Yule yule Hendo asiekua na takwimu zaidi ya kusikia his authority makes Liverpool move forward haha...

Waingereza wanapenda sana vikwao...

Sisi humu tunaongelea wachezaji wetu bila kutazama Uraia wao zaidi... Tunachokisema ni kile tunakiona without actually visiting the datas...

Nadhani ni wakati mwafaka na sisi tusimame na Waifrika wenzetu...

YNWA
 
Fungua Article ya Kiingereza yoyote utaona picha ya Hendo kabeba Kombe na maneno ya kuwa anaibeba Timu katika mabega yake kuifikisha kwenye Mafanikio.
Na kila game wanamrate juu kabisa kuliko wale waliofunga magoli.
Kina Mane na Salah tutaishia kuwasifu sisi Waafrika.
Kwa bahati mbaya hata sisi waafrika tunawadhambulia Salah na Keita.

Na kuna huyu FABINHO ndiyo mwenzangu mimi mwenye Nyota ya Kunguni.

Sasahivi Fabinho anatubeba kwa mabega yake utadhani ni pacha ya VVD, lakini pitia kurasa zote za Kingereza kama utaona akitajwa. Mwisho anaishia kusifiwa na Mke wake Rebecca kwenye Twitter.
Then Waafrika tumekuwa Brainwashed na Waingereza na kuanza kuwaponda Waafrika wenzetu.

Haya Salah na auzwe!

Yaani kazi anayoifanya Fabinho aisee, kama vile namba ni yake ila hazungumzwi kabisa.

Na hii inawaumiza wachezaji kwenye issue za endorsements.
 
Fungua Article ya Kiingereza yoyote utaona picha ya Hendo kabeba Kombe na maneno ya kuwa anaibeba Timu katika mabega yake kuifikisha kwenye Mafanikio.
Na kila game wanamrate juu kabisa kuliko wale waliofunga magoli.
Kina Mane na Salah tutaishia kuwasifu sisi Waafrika.
Kwa bahati mbaya hata sisi waafrika tunawadhambulia Salah na Keita.

Na kuna huyu FABINHO ndiyo mwenzangu mimi mwenye Nyota ya Kunguni.

Sasahivi Fabinho anatubeba kwa mabega yake utadhani ni pacha ya VVD, lakini pitia kurasa zote za Kingereza kama utaona akitajwa. Mwisho anaishia kusifiwa na Mke wake Rebecca kwenye Twitter.
Then Waafrika tumekuwa Brainwashed na Waingereza na kuanza kuwaponda Waafrika wenzetu.

Haya Salah na auzwe!
vingine mnasingizia tuu uingereza, ishu ya Mo salah pengine ni mkataba, ana miaka 28 mkataba umebaki 2yr, maana yake mpaka uishe atakua na 30, sasa hapo ni ngumu kupewa tena mkataba wa miaka walau mitatu, akiangalia mshahara anaolipwa 200k walau atishie nyau apewe mitatu mingine ya 300k kama kina rashford unyumbuni kule
 
Fungua Article ya Kiingereza yoyote utaona picha ya Hendo kabeba Kombe na maneno ya kuwa anaibeba Timu katika mabega yake kuifikisha kwenye Mafanikio.
Na kila game wanamrate juu kabisa kuliko wale waliofunga magoli.
Kina Mane na Salah tutaishia kuwasifu sisi Waafrika.
Kwa bahati mbaya hata sisi waafrika tunawadhambulia Salah na Keita.

Na kuna huyu FABINHO ndiyo mwenzangu mimi mwenye Nyota ya Kunguni.

Sasahivi Fabinho anatubeba kwa mabega yake utadhani ni pacha ya VVD, lakini pitia kurasa zote za Kingereza kama utaona akitajwa. Mwisho anaishia kusifiwa na Mke wake Rebecca kwenye Twitter.
Then Waafrika tumekuwa Brainwashed na Waingereza na kuanza kuwaponda Waafrika wenzetu.

Haya Salah na auzwe!
Na tumekua wapumbavu mnooo

Unakuta mitanzania inmmenunua hayo maujinga

Yanamponda mane na kuacha ox, yanaabudu British trash

It is just pathetic and trust me, that will be the good basis for our downfall
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom