HAKUNA mchezaji wa LFC anayelipwa 200k p/w, na Club's highest earner ni Virgil Van Dijk, na hajafika 200k.
Then, let me chat with you about football business.
Peak ya Goal Keeper ni kuanzia miaka 26-35.
Peak ya CB, ni kuanzia miaka 27/28-35
Peak ya Midfielder ni kuanzia miaka 25-33
Peak ya Attackers, ni kuanzia miaka 25-32/33.
GK/CBs & MFs tends to surpass their peak years, but kwa attackers mara nyingi sana wanaishia 33, special players ndiyo huwa wanakwenda mpaka 35 max.
Salah, sahiv yupo kwenye his PEAK, and he will play at the highest level mpaka 33, same to Mane, kwasababu ni Waafrika wachache sana ambao hawajadanganya miaka yao.
So, we still need Salah for 2-3 years at the Club.
So hiyo notion yako kuwa Salah atakuwa 30 mkataba wake ukiisha ni very immature, hasa katika footballing sense, we had to use everything we had to secure Thiago's signature na ana miaka 29, but his position inampa mandate ya kuwa on top mpaka 33-35, na ndiyo maana Club ikamnunua, sasa kama ingefuata hiyo notion yako, sidhan kama Club ingemnunua hata VVD.
Attackers wengi huwa wananunuliwa katika middle ages (18-23), kwasababu huwa wanatakiwa kuwa moulded, Salah & Mane hawakuwa world beaters wakiwa katika miaka hiyo, because bado walikuwa hawaja-mature, wote wameingia kwenye peak zao wakiwa na miaka 25, Firmino ali-peak akiwa na miaka 27..
We bought Henderson akiwa na miaka 21, but amekuja ku-peak akiwa na miaka 29, na mwakani anakuwa 31, na bado Club inampa mkataba mpya, because indication zinaonesha kuwa bado atakuwa useful kwa more than 2 years, na ukishakuwa zaidi ya 30, club inakupa mkataba mpya lakini wenye value addition ndogo sana, na ndiyo maana kuna mkanganyiko kwa Gini, he's 30, na ana-demand a big raise, kama tayari angekuwa ni big earner, Club isingepata tabu kwenye negotiations, but kutoka 75k p/w mpaka 150k-180k ni big ask kwa miaka 30, kinachowapa faida kina Henderson ni kuwa tayari wanaingiza more than 100k p/w, so mikataba yao mipya inakuwa na extra bonuses.
Sasa, kwasasa, players kama Fabinho, Robertson, Trent, Alisson etc wapo katika mazungumzo ya new contracts, na hawa watapata payrise kubwa sana, kwasababu ndiyo kwaza wanaigia kwenye their peak years, Trent bado (21).. kwa Club, Robertson/Fabinho/Trent/Alisson/Gomez/Jota ni valuable assets kwasababu ndiyo wana-mature zaidi, sasa unachotakiwa kufanya ni kuchanganya hizi assets na WC players ulionao na kuongeza new potential assets kwaajili ya future plans.
VVD, atakuwa 30 next year, na atakuwa anatoka kwenye ACL injury (hatujui atarudije), but Club inataka kumpa mkataba mpya wa miaka mitano, then unashangaa kuhusu ishu ya Salah?
Salah, akitaka kuondoka LFC hata kesho, ni simu chache tu kwenda PSG/City/Madrid and Juventus, unatakiwa ujue kuwa ni the most marketable player baada ya Messi & Ronaldo right now, Neymar & Mbappe are behind him, tunamchukulia poa kwasababu we MADE him, dunia nzima wanawasha na kulipia broadcasting rights kuwaangalia Salah, Mane & Virgil, unadhani nani anawasha TV kumwangalia Henderson? nani ananunua shirts za Henderson? unajua kwanini Club ili-mkeep Lallana kwa muda mrefu despite his injury crisis? ni kwasababu ya his financial returns, ndiyo muingereza ambaye shirts zake zilikuwa zinatoka kwa wingi sana, and now we have OX. thats how football business works, i think Man utd will finally give in kwa Pogba this season but amekaa pale muda mrefu despite his bad patches, kwasababu ya his market worldwide, ni top 5-10 jersey seller in the world.
Watu wanadhania kuwa Clubs zinalipa players millions kwa viingilio vya uwanjani, No, kuna TV deals, endorsements, Shirt deals, sponsorships, hizi deals zote unapata ukiwa na marketable players, for years LFC tumekuwa tukipitwa na hizi deals kwasababu marketable player wetu alikuwa ni SG tu at some point, but now we have like 3-5 star players, ambao wana HUGE following/followers worldwide (Salah, Mane, VVD, Firmino, Trent), inside datas zinaonesha kuwa Keita anauza sana Jerseys pia.
Salah, Mane & VVD wana endorsements kubwa sana now, na Club inapata commision kubwa sana kwenye hizi deals, LFC ni moja ya Club ambayo inapokea pesa nyingi sana kwenye broadcasting rights, kwasababu ni watu wengi sana wanatazama games zetu world wide, sasa unadhani neutrals wana-tune in kumwangalia Henderson? watu wanatune in games za Juve kumwangalia Ronaldo, wanatu wanatune in games za Barca kumwangalia Messi, watu wana-tune in games za PSG kuwaangalia Neymar/Mbappe, watu wana-tune in games za Arsenal kumwangalia Aubameyang, watu wanatune in games za Man City kumwangalia KDB, watu wanatune in games za Utd kumwangalia Pogba anachezaje leo, (nimegusia kuhusu Pogba hapo juu, na Utd wanamwachia sababu ya Bruno now, Bruno ameshakuwa GLOBAL STAR, watu wanatune-in games kwaajili yake), this is how football works, LFC fans wanajua ilikuwa ngumu kiasi gani miaka ya 2009-2011, kupata access ya games za LFC because tulikuwa kwenye crisis, tulikuwa na mchezaji mmoja tu ambaye alikuwa anatuweka MJINI (sitamani aje kuwa coach wa LFC, lakini kila nikikumbuka alivyotubeba naona bora awe tu, he deserves it)..
So, kwa haya anayofanya SALAH, you think the Brits are treating him well? you think yuko protected? kama unadhani kulipwa hela nyingi ndiyo kunakufanya uwe safe na suala la racial profiling they you're wrong, Keita earns more than any british player at the Club but kila siku anakuwa subjected na racial profiling..
Fabinho wakati amerudi kutoka majeruhi na form yake ilivyokuwa mbovu alikuwa subjected na racial profiling kila mahali, na medias zote zilikuwa kimya, especially LOCAL medias, hii ishamtokea Mane, Origi na Keita ni kila siku, when Flanagan alivyompiga girlfried wake hadharani Pearce/Doyle/Mirror NP na magazeti yote ya UK yalimtetea, Juzi hapa wakati Keita anataka kuzingiziwa case ya SEXUAL ABUSE, nani alimtetea? na uongo wote ulikuwa wazi? ni kitu ambacho kingeweza kuharibu career yake kabisa.
Now, tangu juzi Mahrez (African, born & raised) anasakamwa na waingereza/white people kwa kumpigia kura ya kwanza SADIO MANE (his fellow African) kwenye tuzo za FIFA za juzi, na siyo KDB (white-man), MANE had a very good season (last season), Mane won us the LEAGUE kwa yeye na Fabinho kutubeba round ya kwanza ya msimu uliopita (kaangalie STATS), alikuwa ana-deserve TUZO, and MAHREZ alikuwa na haki ya kuchagua, lakini kaonekana traitor, funny thing is KDB anaonekana ni very humble person na sidhani kama alichukulia kwa uzito hilo suala, sasa kama hapa napo huoni racial profiling, utakuwa na matatizo.
You can HATE, Salah, but you need to respect him (him, Mane, VVD, Fabinho, Alisson, Robertson & Gini) deserves our utmost respect. they've been working so HARD for our HAPPINESS, look at GINI, lini ushamuona yupo nje kwa injuries, yupo kila GAMES, anacheza kwa MOYO wote, even though anajua Club inagoma kumpa anachokata (i understand the Club's position), but anapewa HESHIMA anayostahili? bila FABINHO at CB, tungekuwa na hali gani sahiv? but yes lets CALL the dude mwenye English passport, our MOST important player.
Now, nakupa homework ndogo tu, ingia kwenye mtandao wowote ule (especially, twitter) then search jina la ORIGI, this is the dude who won us the CL, yes amekuwa dissapointing lately, but anastahili HESHIMA, mpaka leo tunalazimishwa kumuheshimu Neil Mellor for his goal agaist OLYMPIACOS, but why is ORIGI so disrespected? go figure.
Returns za Clubs investments zilizofanywa kwa kina Mane, Salah, VVD etc, ndiyo zinafanya Club iendelea kupata big deals off the pitch.
Lastly, watu walikuwa wanalaumu sana kwanini Klopp, alimuanzisha Salah na Jota kwenye ile game ya Denmark, firstly kama asingekuwepo Salah on the pitch, basi angekuwepo Mane, hii ni kwasababu ya ku-attract viewers, (GLOBAL STAR-POWER), Secondly, we needed lethal attackers ili kushinda au ku-buy a draw kwasababu kuna pesa kutoka UEFA za kumaliza group on top (pesa zaidi with a good record), and kwenye hizi situation mbili, unahitaji your global & WC players, ambao ni Salah or Mane, sasa Salah alitumika ku-generate money kwenye ile game, ANAJUA AND HIS AGENT ANAJUA PIA (Very competent Lawyer), na ndiyo maan alikuwa dissapointed na kunya'nganywa u-captain, because Club ilikuwa inaogopa UK medias backlash, kwasababu for last 1-2 weeks, topic ilikuwa ni Salah ku-breach COVID rules kwa ku-attend his brother's wedding, BUT apparently, Maguire alikuwa viewed as a very strong individual kwa kupigana na mtu kwenye night club (during COVID outbreak) kwaajili kum-defend dada yake.
Try to read between the LINES.