Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Origi near exit door.

Liverpool are said to be willing to offer Champions League hero Divock Origi as a makeweight in any deal for Schalke defender Ozan Kabak.

The Turkish centre-back is known to be high up Jurgen Klopp's wishlist, but the German club are not willing to let him go without a fight.

And according to the Daily Telegraph the Reds are hoping that offering Origi as a sweetener could tempt Schalke to let their man go.

Although Origi will always be remembered fondly by Liverpool fans due to his part in their European success in 2019, he has been a peripheral figure this season, and could soon be deemed surplus to requirements.

The Mirror.

YNWA
 
Wachezaji wanaonunuliwa sasa dah!
Wacha nisubiri wakati ndio mwamuzi sahihi
 
Mfano kile kitendo cha Mane anatolewa anakosa heshima anawaka wazi kabsaa si kirusi kile kinajijenga sasa uongozi ukiruhusu vile wachezaji watacheza namna wapendavyo na si mwalimu.

Kwahiyo kosa la MANE hasira zako unamshushia SALAH si ndiyo?

Manake sijawahi ona Post unayomlaumu MANE bali unamsifia tu na kuishia kumponda Salah wakati hajawahi kufanyiwa Sub akafoka.
 
Wachezaji wanaonunuliwa sasa dah!
Wacha nisubiri wakati ndio mwamuzi sahihi
Rebuilding ya Klopp ilishaanza ndugu...

Huyu beki ana miaka 20 ni Centre Back na pia anacheza DM..

Nadhani hapa Nike wanahusika maana ni outfitter wa huyu dogo...

Market value yake ni £25m ana mkataba mrefu sana pale O4 mpaka 2024...

Origi yupo mbali sana ki namba kwa sasa ni vyema akapambane kwingine...

He will remain a Legend ever at Liverpool...

Account yake ya Twitter alishaanza kama anatuma ujumbe January huyoo aidha S O4 ama Wolverhampton...

YNWA
 
Kuna vitu sivielewi hawa wanaosema Salah analipwa 200k / wk Ina maana wanatudanganya!!?View attachment 1657971
Wage structure ya LFC, haijafika 200k p/w, hatuna mchezaji anayelipwa hicho kiasi initially.

Salah, alivyo-sign his new deal, reports zikawa ni kaongezewa wages mpaka 230k p/w, but kwa structure yetu kufikia huko tunakuwa tumeharibu utaratibu wote, so kama namlipa Salah 200k (after tax), it means kwa week anaweza akawa anapata si chini ya 250k (pamoja na bonuses za performances/goals/assists etc), hizi bonuses zipo kwenye kila MIKATABA ya big players, sasa FSG hawawezi kuruhusu inital wage ifike/ivuke 200k

Bonuses, siyo initial wages, but huwa zinakuwa included pamoja na wages, so unaweza ukakuta kwenye mkataba wa Salah, kuwa akicheza mpaka dakika ya 60/75 ana bonuses, akifunga goal ana bonuses, akiwa Man of the Match ana bonuses, akitoa assists ana bonuses, etc, so kwa Club kama yetu hatuwezi ku-offer initial Salary ya 200k p/w, kwa maana ya kuwa Salah ana wastani mzuri wa kufunga/assist/kucheza dk 90, so ingekuwa ni zaidi ya 250k-270k p/w, bado hatuna uwezo huo, na ndiyo maana kama tukimnunua Mbappe, itatubidi tu-reshuffle our wage bill, maana he will demand 280k-300k as initial salary and after tax, so ukijumlisha bonuses itaenda mpaka kwenye 350k-370k..

Salah, hajafika 200k, but sometimes ni extra bonuses zinazofanya kwa week apate net ya 200k na zaidi..

Mfano, last season we won the league, but we registered thin-profit margin kwenye books, maana Club ilitoa bonues kwa kila mchezaji baada ya kushinda LEAGUE, huge bonuses.
 
Sisi the citizen soon tunamleta mess na anachukua 500k kwa Wiki

Sasa nyie kumpa mtu hata kandarasi ya 300k hamwezi,

Yaan pale liverpool na mpira mnaopiga wote, wachezaji wanavojitutumua wanataka kufia uwanjan lakin angalia hela nayopata Mane ,anord na micross yote hana tofaut na muokota makopo wa USA mshahara wake

Salah na magori yote anayotupia hamfiki hata ozil ambaye yupo yupo tu

Hakuna anayelipwa hata 300k club nzima a I see
Trent anachukua 40k GBP kwa wiki

Usizidishe chumvi hiyo USA yenyewe ni raia wachache wanao ingiza GBP 1500 kwa wiki
 
Wage structure ya LFC, haijafika 200k p/w, hatuna mchezaji anayelipwa hicho kiasi initially.

Salah, alivyo-sign his new deal, reports zikawa ni kaongezewa wages mpaka 230k p/w, but kwa structure yetu kufikia huko tunakuwa tumeharibu utaratibu wote, so kama namlipa Salah 200k (after tax), it means kwa week anaweza akawa anapata si chini ya 250k (pamoja na bonuses za performances/goals/assists etc), hizi bonuses zipo kwenye kila MIKATABA ya big players, sasa FSG hawawezi kuruhusu inital wage ifike/ivuke 200k

Bonuses, siyo initial wages, but huwa zinakuwa included pamoja na wages, so unaweza ukakuta kwenye mkataba wa Salah, kuwa akicheza mpaka dakika ya 60/75 ana bonuses, akifunga goal ana bonuses, akiwa Man of the Match ana bonuses, akitoa assists ana bonuses, etc, so kwa Club kama yetu hatuwezi ku-offer initial Salary ya 200k p/w, kwa maana ya kuwa Salah ana wastani mzuri wa kufunga/assist/kucheza dk 90, so ingekuwa ni zaidi ya 250k-270k p/w, bado hatuna uwezo huo, na ndiyo maana kama tukimnunua Mbappe, itatubidi tu-reshuffle our wage bill, maana he will demand 280k-300k as initial salary and after tax, so ukijumlisha bonuses itaenda mpaka kwenye 350k-370k..

Salah, hajafika 200k, but sometimes ni extra bonuses zinazofanya kwa week apate net ya 200k na zaidi..

Mfano, last season we won the league, but we registered thin-profit margin kwenye books, maana Club ilitoa bonues kwa kila mchezaji baada ya kushinda LEAGUE, huge bonuses.
Can you please share the evidence??
 
Basi tunadanganywa Mambo mengi Sana kwenye mpira chief...
 
We need not to make any conclusions here

Only way ni kupata facts from reliable sources

Hard for me to agree with mosdef because he is a human as well and I am not sure he is an employee wa LFC or company inayomanage LFC payroll

Let's wait

Nafikiri humfahamu huyu jamaa, get time, pitia posts zake walau za miaka ya 2014 mpaka 2017.

He is very very reliable.
 
Nafikiri humfahamu huyu jamaa, get time, pitia posts zake walau za miaka ya 2014 mpaka 2017.

He is very very reliable.
Sijasema he is unreliable and you can read my respect to him in my posts

Hata Mimi ukinisoma sionmgeni humu hata hiyo post namba 1 unaisoma hapo nakumbuka ilikuaje

One thing for sure, we just need confirmation ya baadhi ya info...

That's it
 
Info za salary kwa mpira huwezi kuzipata ambazo ni za uhakika wa moja kwa moja, ndiyo maana ukiingia mitandaoni unaona majibu tofauti kwa mtu mmoja.

US wao utaratibu wao kwa michezo kama Basketball na American Football kila kitu kinawekwa wazi, na structure imewekwa na Board za Ligi.

Kwenye mpira kila timu ina structure yake na policy zake kwenye kuwalipa wachezaji.
 
Don kwenye hili naomba tukubali kutokubaliana,Ila kimsingi kwa wenzetu waliondelea Mambo ya longolongo kwenye inshu nyeti Kama mshahara sijawahi kuona....yàaani wakwambie Don unapewa elfu 50 lkn kumbe unachukua 20 Ila bonuses na vingine ambavyo sio kila wiki unaweza kuvipata ndio vifikishe hiyo 50...!!?Sasa hapo si unaweza hata kufungua kesi mkuu!?
 
Hujanielewa mkuu, nimezungumzia swala la taarifa za mishahara kujulikana na sisi watu wa nje.

Kwa mfano, ukiingia kwenye Website ya NBA (official website), unapata salary ya kila mchezaji.

Ila kwa Football mambo hayako hivyo, huwezi kukuta mahali popote pale kwenye official website ya timu wala ya Premier League kukiwa na taarifa rasmi ya mshahara wa mchezaji.

In that sense, tunajikuta taarifa tunazozipata ni tofauti tofauti kwa sababu ni guess work. Huwa siyo official release.

Hapa nilikuwa namjibu TIMING anayeomba Mosdef a-confirm swala la mishahara ya kina Salah.
 
Exactly

And rumours is that Rashford soon to get further increments at 300k per week wages
Rashford ni brand...

So much he is doing behind scoring goals..

His Charity work has made him stand out during this covid hard times...

Yeah 300k yeye na Bruno are in for that kind of pay..

Soon class of 300k will have newcomers in Rashford perhaps 🤔🤔🤔VVD...

YNWA
 
Can you please share the evidence??
Yeah.

So, kwa kuanzia, lets put it this way, ningependa niongee in general, but tukiiongelea LFC zaidi, yenyewe haijawahi kutoka official financial report kuhusiana na wages za wachezaji wake, na sidhani kama Clubs zingine zinafanya hivyo, because at the end of the day wages ni makubaliano binafsi kati ya mchezaji na club (employee na employer)..

Suala la wages/bonuses za wachezaji mara nyingi sana huwa zina-leak during negotiations (especially kwenye new deals/contract extension), na fee zinazo-leak zinawez kuwa za ukweli au uongo ili ku-put pressure kwa pande zote mbili, kwa mfano kwasasa kupitia negotiations zinazoendelea kuhusu GINI, tumejua kuwa analipwa 75k, hii kazi ya ku-leak huu mshahara imetoka kwenye camp ya Gini, sasa hatujui kama ni kweli, maana Camp ya Gini inachofanya ni kuipa pressure Club kupitia public sympathy, na ndiyo maana Club inashindwa kutoa maamuzi, kwasababu tayari camp ya upande wa pili ishawa-tight, so they have to come with a huge offer kwa public/LFC fans kuwaelewa, maanake tayari ishu imekuwa public (leaked), na Club haiwezi kutoa hadharani mkataba halisi wa mchezaji, kwasababu ya Club's privacy policy, ambayo inasimamiwa na FIFA.

So, unajuaje Wage bill ya Club, hizi financial sites zote huwa zinatumia approx-mation margins kwenye ku-determine wages za wachezaji, kwa kukusanya leaked datas, au kupata inside infos kutoka kwa Agent wa mchezaji husika, hence reports kuhusiana na wages za wachezaji huwa zinatofautiana kwenye kila site husika, mfano, tukija kwa Salah, kuna sites zinasema ana-pocket 200k p/w, zingine 220k p/w, zingine 230k p/w, so kama huna nia/hamu ya kufatilia/kufanya approx zako mwenyewe ni lazma utabeba datas za hizi sites.

Sasa, kujua Wage bill ya club, kwanza unaangalia policy yake pamoja na approach yake kwenye Transfer market, kwetu sisi, bado tupo kwenye sell to buy policy, ambayo basis yake ni ku-maintain our net spend kwa kila summer, the thing is, when FSG walivyokuja at the Club, kulikuwa na hali mbaya kiuchumi, and approach yao kuanzia mwanzo ilikuwa ni Club kujiendesha kwa pesa zake yenyewe, wao wasitoe pesa mfukoni, so wakaikopesha club, na mpaka leo wanaidai club (Kwa waliosoma ishu za Company laws, economics, BA etc wataelewa hili), so ina-generate its own money mostly, ikikwama FSG wanaikopesha tena, na ndiyo mana hata kwenye suala la VVD, FSG loaned the club some money, because Coutinho fee haikutosha ku-cover signs zote tatu za Keita/Alisson & VVD, sasa kwa sera yetu na the way tunavyo-operate hatutakiwa kwenda juu/kuzidi our financial status/line na ndiyo maana tunacheza sana na wages kuliko hata fees za kununua wachezaji.

Sasa, kwa structure kama hiyo unatakiwa ujue kuwa sisi ni Club ya aina gani, je tunaweza kumlipa mchezaji 250k-270k pamoja na bonuses? maana tukifanya hivyo itabidi FSG waikopeshe tena club, na ndiyo maana tunatumia hela nyingi sana kwenye signing fee na agent fees kuliko kwenye wages, maana tunalipa mishahara kutokana na pesa ambayo inakuwa generated kutoka kwenye financial office ya Club, juzi tu hapa FSG walikuwa wanataka ku-issue furlough scheme (unpaid leaves) kwa Club's stuff & employees kwasababu financial department ilikuwa imezidiwa, (kwasababu ya COVID) na hii ingefanya FSG waingie tena mfukoni ili ku-cover loses, sasa club yenye financial restrictions kama hii haiwezi ku-afford kulipa 250k-270k (pamoja na bonuses), na let me be clear, siyo kwamba hatuwezi per se but sera ndiyo inaibana club, na tumebaki nayo kwasababu imetupa mafanikio (sijajua in the long run)..

Currently volunteering kwenye football Agency company, katika department ya scout & data anaysis, so nimepata bahati ya ku-practice sports contracts zinavyokuwa, Ok, nilikuwa najua mfumo wake way back (international sports contracts), but now napata nafasi ya kuwa nayo na kuisoma sana kwaajili ya personal knowledge & research, na ndiyo maana hapo juu nikagusia sana kipengele cha BONUSES, hiki ndiyo kinachofanya negotiations nyingi sana zinakuwa ngumu au kuvunjika, kwasababu players (WC players) huwa wana-ask stupid money & stupid bonuses..Gini anacheza kama nunmber 10 or advance 8 akiwa na team ya Taifa na ndiyo natural position yake, at LFC anacheza kama 2nd holding CM/DM, unaweza ukakuta ukiachana na initial salary anayotaka, anadai bonuses kubwa sana ya kuchezeshwa nje ya his favourable position, na ukichukulia tayari ameshakuwa influential & important kwenye team.

Then, kuna suala la VVD, i've heard (you can do a simple research too), kuwa mkataba wake mpya atakao-sign atalipwa 220k p/w, tunarudi kule kule, hapa tunakuwa tumevunja kabisa our wage bill structure, na ndiyo maana hata aki-sign mkataba atakuwa tipped kama the most/highest paid LFC player in history, sasa now Club inaweza ikavunja his wage bill (we're not so sure yet, just early talks), kwa 220k, but again tunaambiwa kwenye sites zingine Salah analipwa hiyo 220k au 230k, then jiulize kama VVD anaenda kulipwa 220k p/w huko nyuma alikuwa analipwa sh.ngap?.

So, do the maths man.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom