Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Maybe, uelewa wangu ni kwamba tuzo inaangalia ulichafanya msimu unaozungumziwa.

Football World inashangaa mpaka sasa nini kimetumika kumpa Klopp badala ya jamaa.

Klopp mwenyewe alishangaa.

Bayern wameshinda vikombe 5 chini ya huyo kocha.

Kiushabiki, naweza sema sawa, ila kiuhalisia sidhani kama Klopp alistahili hii tuzo.
Iko wazi kuwa kocha bora wa msimu ni Hans .
Laini hiyo haimaanishi kuwa Hans ni bora kuliko jk..

Hayo ya vigezo gani wametumia kutoa tuzo sijajua
 
Wewe na litimu lako linaloshindwa kuifunga West brom nyumbani hamna jipya la kujitamba msimu huu
Hakuna watu wanaojiona wameyapatia Maisha Kama hawa kuku wa humu

Only 13match out of 38

Mnaanza kupita mbele ya wanaume mmelowesha kanga
 
..
131891041_2890801684486823_4460204142374220752_n.jpg
 
Hendo akipunguza useless passes yuko sawa kaka...

YNWA

He is very decent, though siyo mtu anayeweza kuamua game siku hizi namwelewa kiasi.

Otherwise 2021/22 kikosi kitakuwa na VVD kwenye namba yake, katikati Jones, Fabinho na Thiago. Henderson ataanza kuwa anapumzishwa. Hoping kwamba Thiago ata age kama Thiago mwenzake wa Chelsea.
 
Yeah you got point pamoja na uzuri wake since Fabinho amerudi CB hajafikia kiwango cha game decider may be that last pass nk but at times need long legs in the middle of the park ili kuwa release wengine in LB na RB na so far amejitahidi..

Thiago mhmh anahitaji game management ya hali ya juu to be serious ningekua mimi ndio nasaini cheki huyu Liverpool angeionea kwenye TV tu 😂😂😂...

YNWA
 
LIVERPOOL TEAM NEWS

Team to play Crystal Palace:

Alisson, Alexander-Arnold, Matip, Fabinho, Robertson, Keita, Henderson, Wijnaldum, Minamino, Firmino, Mane.

Subs: Adrian, Kelleher, Salah, Oxlade-Chamberlain, Jones, Origi, R Williams, Phillips, N Williams.

Hahaha.... nimeona hapo kwenye bold chief!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom