Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mchezaji gani yule mlikua mnampa sifa bure kabisa mchezaji anamaliza dakika 20 hajagusa mpira? Mpaka sasa lile ni galasa tunabahati kupata ile pesa
Hahaha Mkuu pengine pale Blades hapati service kama pale Swansea..

Usim rule out mapema hivi bado ana nafasi ya kukaa sawa cha msingi aijfue mazoezini vya kutosha...

All the best kwake...

YNWA
 
Jones ni future Captain wa Liverpool haha

Ishu ya Brewster ilikua imefikia pambaya kambi yake hawakutaka mkopo tena walitaka wapewe uhakika wa dogo achezw kikosi cha kwanza ina maana angekua ana compete nafasi na wazoefu Bobby, Jota, Origi... Klopp hakutaka kumbakisha aafu asicheze tena dogo angejisikia sio sawa ndio maana wakapewa plan B auzwe ila Liverpool waweke buy back clause kwa future business akihitajika tena nyumbani..

Kuuzwa kwa Brwester ilikua sawa kabisa naispoti kwani kwa level yetu ya ushindani hatuna muda wa trial kwenye ufungaji ndugu... Mtazame pale Blades haja click kabisa am sure na vile wapo mkiani watakua wanaona walipigwa ela pale maana ni record signing....

Kwanza stamina wise Brewster bado kabisa na hili kwa EPL litamsubua maana EPL ni physical league na yeye ni traditional 9 hivyo Klopp alitaka ashuke chini akapate dakika za kutosha ili kumleta upto speed physical wise.. Kama unakumbuka January 2020 alikwenda kwa mkopo Swansea na alifanikiwa sana hivyo Klopp was insisting development yake ipo on track akiwa Championship zaidi ya EPL kwa vile kule anapata minutes za kutosha...

Elliott ni season long loan na hata ikiisha waongeze tena bado hayupo tayari physically kuchukua namba ama kua msaidizi wa Salah... So far anakwenda powa sana assit za kutosha na magoli pia..

TAA ni talent ndugu just like Jones, Rashford, Kane, Mason etc hawa wanahitaji tu dakika uwanjani the rest ni kocha kusema huyu ni wa hapa hapa no loaning...

YNWA
Kijana legelege huyu mnampa sifa asizostahili kabisa.
 
Sawa Mimi kwangu still ni jk..
Hans bado ana vitu vingi vya kujifunza kwa jk
Wewe klop alishindwa kufanya aliyofanya Flick Ujerumani ndani ya msimu mmoja halafu bado unapayuka eti "Hansi anya nyinyu nyingi nya kunyinyunya nya klop"....Hans kaibiwa tuzo na Klop PERIOD.
 
Shabiki wa hii timu punguzeni mehemuko na mahaba..mnashindwa hata kufanya upembuzi mdogo.
 
Wakuu Thiago anakaribia kupona mazima..

Je MFs itapendeza kama ni

Gini, Thiago, Hendo au

Gini, Thiago, Jones au

Hendo Thiago Jones

Thiago huyo ni mtamu zaidi akiwa CM.

Selhurst Park mapema kabisaaaaa kesho tunafanya yetu...

4 2 3 1 ili gini akae 10. Kila mtu anahitajika asee curtis jones kawa mtam, gini anakiwasha na thiago tumemmiss
 
Wewe klop alishindwa kufanya aliyofanya Flick Ujerumani ndani ya msimu mmoja halafu bado unapayuka eti "Hansi anya nyinyu nyingi nya kunyinyunya nya klop"....Hans kaibiwa tuzo na Klop PERIOD.
Dogo ni bora ungefunga domo lako kwa kuwa umeanza kucheki soka juzi.
Kasome histori yake jk vizuri..

Na utulie sio kupayuka na domo lako kama chai jaba
 
Hahaha Mkuu pengine pale Blades hapati service kama pale Swansea..

Usim rule out mapema hivi bado ana nafasi ya kukaa sawa cha msingi aijfue mazoezini vya kutosha...

All the best kwake...

YNWA
Mtu anazurula tu uwanjani watampangaje sasa tumewapiga wale yule ni tisa ya kizamani mpaka atengenezewe mfumo wake wenzie wacheze yee afunge tu
 
Sawa Mimi kwangu still ni jk..
Hans bado ana vitu vingi vya kujifunza kwa jk
Wee bwana mahaba ona hapo kocha bora klop avyotoa appreciation na kushangazwa na hyo tuzo hafu ww unakomaa kuongea utopolo hapa.
Screenshot_20201219-021236.jpg
 
Wee bwana mahaba ona hapo kocha bora klop avyotoa appreciation na kushangazwa na hyo tuzo hafu ww unakomaa kuongea utopolo hapa.View attachment 1653736
Mbona unanilazimisha mzee?
Kama vile ambavyo wamemchagua na wapo waliomchagua Hans .

Tunatofautiana Hans msimu uliopita alifanya vizuri ndio lakini sio kama unavyosema ni kocha bora kuliko jk.

Tofautisha kocha bora na kocha bora wa msimu
 
Hiv hua mnaangalia na thaman ya wachezaji katika team? Klop kwa asilimia kubwa hutumia wachezaji wa kawaida na thamani wanaipata akiwa hapo. Sio mtu abebwe na wachezaji af apewe yeye tuzi
Wewe klop alishindwa kufanya aliyofanya Flick Ujerumani ndani ya msimu mmoja halafu bado unapayuka eti "Hansi anya nyinyu nyingi nya kunyinyunya nya klop"....Hans kaibiwa tuzo na Klop PERIOD.
 
Wewe klop alishindwa kufanya aliyofanya Flick Ujerumani ndani ya msimu mmoja halafu bado unapayuka eti "Hansi anya nyinyu nyingi nya kunyinyunya nya klop"....Hans kaibiwa tuzo na Klop PERIOD.
Jk alishindwa akiwa na timu gani na Flick kaweza akiwa na timu gani? Huku ujeruman kombe lolote lisipoenda munchen dunia nzima inajiuliza hata kama munchen inafundishwa na Ole au Julio,
 
Mtu anazurula tu uwanjani watampangaje sasa tumewapiga wale yule ni tisa ya kizamani mpaka atengenezewe mfumo wake wenzie wacheze yee afunge tu
Mkuu dogo kama nilivyosema ni traditional 9 na Blades hawakubahatisha kutoa zile ela kwani akiwa Swansea alifunga magoli 11 nadhani katika mechi 17+ huku akiwa amejiunga nao January 2020...

Traditional 9 ili umuone katika ubora wake lazima apate service ya kutosha na apate dakika za kutosha uwanjani...

Kwa sasa pale Blades muda mwingi amekua sub sio serial starter...

Kwa umri wake naamini nafasi anayo kabisa kuongeza magoli...

Pale Blades bado hajafunga hata goli moja na sidhani hata kama shot on target anazo 10, utaona sasa kwa nini Klopp alisema ashuke Championship akakue zaidia kwanza aafu ndio awe tayari kwa mikiki ya EPL...

Sio yeye tu mwenye kupata ukame huu wapo wengi akina Benteke nk wanaweza kukaa hata mechi 15+ plus magoli hivyo yeye ni kuweka bidii uwanjani hamna namna...

YNWA
 
4 2 3 1 ili gini akae 10. Kila mtu anahitajika asee curtis jones kawa mtam, gini anakiwasha na thiago tumemmiss
Thiago na wasiwasi kama kapona labda aanzie benchi...

Kikosi pale kati kinazidi kuwa loaded soon Shaqir na Milner wanakua fit..

Klopp atakua na benchi la nguvu MF kwani itakua Chambo, Keita, Shaqir, Taikumi, Milner, Thiago... Sasa hawa wanaocheza sasa Gini, Hendo, Jones leo endapo wakipata kuanza utawaona watavyojituma...

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom