King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,417
- 7,370
Yani hawa Palace katika Timu mbovu kuwahi kuishuhudia basi nao wamo
Uje mzee mwenzanguBado mapema sana kuamini mutatoka na points 3 leo.
Kwa ninavyo wajua palace, sio wa kuwatishia ngumi na panga liko kiunoni.....
Yani hawa Palace katika Timu mbovu kuwahi kuishuhudia basi nao wamo
Hawa ndiyo wako kwenye kumbukumbu ya kutufunga kwa mara ya mwisho Anfield.
Ivi huyu Kipa wa Palace sio Adrian huyu?