Jones ni future Captain wa Liverpool haha
Ishu ya Brewster ilikua imefikia pambaya kambi yake hawakutaka mkopo tena walitaka wapewe uhakika wa dogo achezw kikosi cha kwanza ina maana angekua ana compete nafasi na wazoefu Bobby, Jota, Origi... Klopp hakutaka kumbakisha aafu asicheze tena dogo angejisikia sio sawa ndio maana wakapewa plan B auzwe ila Liverpool waweke buy back clause kwa future business akihitajika tena nyumbani..
Kuuzwa kwa Brwester ilikua sawa kabisa naispoti kwani kwa level yetu ya ushindani hatuna muda wa trial kwenye ufungaji ndugu... Mtazame pale Blades haja click kabisa am sure na vile wapo mkiani watakua wanaona walipigwa ela pale maana ni record signing....
Kwanza stamina wise Brewster bado kabisa na hili kwa EPL litamsubua maana EPL ni physical league na yeye ni traditional 9 hivyo Klopp alitaka ashuke chini akapate dakika za kutosha ili kumleta upto speed physical wise.. Kama unakumbuka January 2020 alikwenda kwa mkopo Swansea na alifanikiwa sana hivyo Klopp was insisting development yake ipo on track akiwa Championship zaidi ya EPL kwa vile kule anapata minutes za kutosha...
Elliott ni season long loan na hata ikiisha waongeze tena bado hayupo tayari physically kuchukua namba ama kua msaidizi wa Salah... So far anakwenda powa sana assit za kutosha na magoli pia..
TAA ni talent ndugu just like Jones, Rashford, Kane, Mason etc hawa wanahitaji tu dakika uwanjani the rest ni kocha kusema huyu ni wa hapa hapa no loaning...
YNWA