Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Kutakuwa na kimoja kati ya hivyo kinabase kwenye kura na kingine kinabase kutukana naaamuzi ya mezani.
au inawezekana kura za gloves zinakua category tofauti, na hiki kikosi nacho kinapangwa tofauti........

mfano, labda category C. golden gloves, then category H. Fipro XI........
 
au inawezekana kura za gloves zinakua category tofauti, na hiki kikosi nacho kinapangwa tofauti........

mfano, labda category C. golden gloves, then category H. Fipro XI........

Nilikuwa napitia kidogo, kuna majibu hapa.

Goalkeeper of the year anachaguliwa na "The International Federation of Football History & Statistics (IFFHS)". Hili ni shirikisho ambalo kazi yake ni kukusanya takwimu. Kwa hiyo watakuwa wanabase kwenye takwimu hizo kumchagua.

Na Best Eleven inachaguliwa na professional players around the world, around 50,000 pros wanapewa form wajaze best 11 kila mmoja, and then FIFA wanazikusanya na kuangalia nani amechaguliwa Mara nyingi zaidi.

Now: it is possible kuwa Goalkeeper Bora wa mwaka lakini usiwe kwenye kikosi Bora kwa sababu hizo hapo juu. Mfano ukiwa na cleansheets nyingi, statistics zinakubeba, hata kama una beki nzuri sana.

Wakati ukiwa una beki za kama kina Maguire, mashuti unapangua mengine yanaingia, ila unadaka vizuri. Kwenye kura unaweza kushinda ila takwimu zikakutaa.
 
Muwe mnaangalia na ligi walizopo.
Hao bayern kila kocha waliyeleta ni yupi alishindwa kuwapa kombe la ligi?

Kwa UEFA sawa kajitahidi huyo kocha.
Ila jk ana consistency nzuri aliingia final akapoteza na Madrid then next season akingia tena final na kubeba UEFA.
Duh yahn hizo ndo hoja zako sio....unajua mara ya tangu dunia ianze team zilichukua treble hazijafika kumi ....ni ajax, psv, man utd, inter, barca na bayern zimefanya hvyo mara mbili ...sasa flick sio treble kachukua trophy tano na hajapoteza game hata moja UEFA msimu huu.....hafu unakuja unaleta mahaba jitahd uwe na roho kama ya CR7 .
 
Siwezi kukuelezea kila kitu kipo wazi yaani jk umfananishe na huyo Hans?

Watu wengine mna vituko sana..
Huyo Hans msimu huu UEFA utamchukia
ww mahaba jamekujaa una lolote...klop ni mzuri lakn msimu huu kwa flick ameachwa mbali.........
 
Duh yahn hizo ndo hoja zako sio....unajua mara ya tangu dunia ianze team zilichukua treble hazijafika kumi ....ni ajax, psv, man utd, inter, barca na bayern zimefanya hvyo mara mbili ...sasa flick sio treble kachukua trophy tano na hajapoteza game hata moja UEFA msimu huu.....hafu unakuja unaleta mahaba jitahd uwe na roho kama ya CR7 .
Sio kwamba wewe ndo unafosi 1 Iwe mbili?
Hans anahesabika kachukua tu UEFA.
Hivyo vikombe vyao huko tangu jk aonedoke nani mwengine alichukua kombe zaidi ya hao Bayern?

Kocha gani kabla ya Hans ambaye vikombe vya huko ujerumani vilimshinda kuchukua?
Hata Mimi saivi wakinipa team nachukua vikombe hivyo huko..

Halafu Hans amechukua UEFA sababu kubwa ni kuwa team nyingi ule msimu zilikuwa ziko vibaya ...
Mpaka PSG inaingia final ni ujinga gani huo?

Hata bajeti ya Hans kwa wachezaji na jk hazifanani jk ana bajeti ndogo na anafanya makubwa...

Leta na wewe hoja zako unazosema naona unaandika sentensi ya maandishi kumi halafu unanidai hoja..

Acha tuone msimu huu UEFA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom