dong yi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 5,956
- 8,344
umesemaaaaaaaaUnaota bro.
Ngoma bado ngumu hii.
umesemaaaaaaaaUnaota bro.
Ngoma bado ngumu hii.
Hatujafanya sub hata moja?????Hahahahahahahahah
Keita, Ox na Minamino sio wachezaji? Acha dharau jamaaMna wachezaji wa kufanya sub?
Keita hakuingia? HahahahahahHatujafanya sub hata moja?????Hahahahahahahahah
Alikuwa aingie mpira ukaisha kasimama tuKeita hakuingia? Hahahahahah
Poa tu, bora muongoze nyinyi vibonde,
kuliko akiongoza Morinho.
Huu msimu Manchester United tuna jambo letu.
Jinsi ambavyo simpendi Mourinho
Nimefurahi mno leo tumefunga domo lile
Hope Utakula mwana.Tukifungwa na spurs kesho ubingwa basi tena
The way I hate Mourinho...ntashindwa kula tukifungwa
The slip hadi leo nikiona clip nakosa raha
Aingie wapi???? Akacheze namba ya nani uwanjani Mkuu.Keita hakuingia? Hahahahahah
@The Boss: alivyo mroho na alivyo na furaha leo atakula hadi KitimotoHope Utakula mwana.
Tena Utakula sana
Bobby Leo kacheza namba ngapi? Maana kalisukuma gozi mpaka nikashindwa kujua alicheza namba ngapiNingejiskia vibaya Sana,kama tunge draw hii match.... Tuliwakamata kila idara.
Mchezaji gani alizingua leo? Sijaona hata mmojaAingie wapi???? Akacheze namba ya nani uwanjani Mkuu.





