Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hii game ya Everton alikuwa anarudi kutoka kwenye injury + covid 19 if am right, nakumbuka tuliambiwa kaumia mazoezini. Kwa hiyo ikaibuka na hii pia.

Natamani sana kumwona huyu jamaa akicheza, ila hivi alivyoanza inanitisha zaidi, mpaka sasa ni 7 weeks zimepita toka ile injury, I hope he comes back soon and stays put for a bit longer.
Haikuwa Injury, ilikuwa ni Covid-19..

Salah, Mane, Shaqiri etc, wote wali-experience ishu ya Covid-19, so siyo kitu kipya kwenye squad.

Challenge ya Richarlison ndiyo inamuweka nje mpaka sasa, and lucky siyo ACL wala MCL.

As i said, ni bone bruises, so huwezi kujua ni lini atarudi (the exact date), na hata kama kama kutakuwa na the exact date, club lazima izingatie njia zote SALAMA kabla ya kumrudisha uwanjani, so you need to take it week by week, na ni kitu kizuri sana, because akiwa rushed na kuumia tena, career yake inakuwa imeisha at LFC, as fans tunahitaji sana kuzingatia hivi vitu.

Alisson, anaumia after every few weeks, but kwakuwa minds zetu zipo kwa Keita/Ox and now Thiago, tunasahau kuhoji kabisa kwanini Goal-Keeper anapata injuries za mara kwa mara, nadhani tutasubiri mpaka siku his stupid injury problems zitakavyotucost League title ndio tutaanza kuhoji, maana alishatucost CL dhidi ya ATM last season kwa injuries zake.

CONTEXT ni muhimu sana.
 
Nimekupata mkuu, umegusia kitu ambacho nimeshindwa hata kujiuliza na kujijibu, injury za Alisson. Maana nyingi zinakuwa ni nje ya game, na siyo mtu anayekutana na contacts za mara kwa mara!

Hapa simsomi kabisa huyu.
 
Club chefs & physio room hawafanyi kazi yao vizuri, failing to manage his diet plan, he's overweight, hawez ku-contain training drills za Klopp, hence injuries zake nyingi root yake huwa inaanzia kwenye training ground.
 
kwenye huu mlinganisho wa magoli na mechi walizocheza kati ya ronaldo na mohammed salah bado sijaiona hoja ya msingi ya kumfanya salah awe wa thamani kiubora mbele ya ronaldo(kwa kutumia reference hiyo hiyo ya ligi ya uingereza).

labda kama mashabiki wa liverpool mutaweza kunisaidia nitafurahi sana.

Mkuu kiukweli ni ngumu kuamini ila ukweli ndio huo,salah kwenye kufunga kamfikia ronaldo kwa kufunga magoli licha ya kucheza mechi chache dhidi ya ronaldo

Mkuu salah kafunga magoli mengi ndani ya msimu mmoja kushinda wachezaji wote waliowahi kucheza pale Epl.ilo pia inakuwa ngumu kuamini,salah amekuwa bora kwenye kufunga kushinda ronaldo alivyokuwa epl.

hapo sasa siwezi kukushawishi Mkuu,wewe sijajua umetumia vigezo gani ronaldo ni bora kuliko salah kwenye kufunga pale Epl?
 
Why Should we oflload Thiago?

Mkuu muda mwingine mashabiki tunashikwa na hasira sana kwenye hili swala la injury.

Wachezaji muda mwingi wanakuwa wako nje,wanacheza mechi chache sana.

Sasa mambo kama hayo ni mtu unashikwa na hasira bora kuwaondoka tu kwenye timu,maana unakuta msimu wa pili sasa muda mwingi ametumia kukaa nje,sasa kila mchezaji hakiwa hivyo nani atacheza uwanjani.

Kuna muda mashabiki tunaona ni vizuri tukawa na wachezaji wanao cheza kila mechi ili iwe vizuri klopp kupanga kikosi kulingana na mpinzani.

Mimi binafsi ile mechi na atletico kukosekana allison nilikasilika sana nilipata hasira kwamba huyu allisson ni wakuuzwa tu,maana inavyoonekana hawezi kumaliza msimu bila ya kuumia zaidi ya mara 3.

Sasa hivi akirudi February pale kwenye uefa ndio tunaitaji ushindi kila mchezaji tunataka awepo yeye atakuwa ameumia tu.

Ni bora asiwepo tu,tusiwe tunamtegemea.

Pia ni vizuri kwenye kusajiri kuwa na wachezaji wasio umia hovyo hovyo,kama hao tunao wategemea sasa,ikiwa hivyo ubingwa tunakuwa tunatangaza mapema sana tu.
 
Gini is 30, na anataka same contract kama ya Salah & VVD

You cant give that kinda contract to a 30 year-old player.

He can leave.
If Milner and Henderson who both to me offer less than Gini can be given that lengthy contract why not this cool boy...

As long as the contract is 3 yrs am okay with that...

Him going and us remaining with akina Keita, Chambo, Hendo, Thiago who are injury prone man that doesn't sound cool...

Otherwise in Klopp i trust...

YNWA
 
His demands are way outta line. He should settle for what he's been offered. Am sure Edward offer is very generous to him.
 
His demands are way outta line. He should settle for what he's been offered. Am sure Edward offer is very generous to him.
Gini knows he is a deliver and he is in his prime age field wise and he also knows this might the most lucrative extention he will ever get that why he will put all his efforts to get the best he can from us or Barcelona or any team out there needing his super guaranteed services...

Generous to Edwards but Gini still seeing aint the level he will be happy..

Do you remember Makelele alivyotoka Madrid akiwa bado na mpira wake mwingi tu basi ndio huyu Gini... There is a reason even Klopp with fully fit squad bado anakomaa na Gini and surely the boy rarely disappoint...

YNWA
 
Mkuu muda mwingine mashabiki tunashikwa na hasira sana kwenye hili swala la injury.

Wachezaji muda mwingi wanakuwa wako nje,wanacheza mechi chache sana.

Sasa mambo kama hayo ni mtu unashikwa na hasira bora kuwaondoka tu kwenye timu,maana unakuta msimu wa pili sasa muda mwingi ametumia kukaa nje,sasa kila mchezaji hakiwa hivyo nani atacheza uwanjani.

Kuna muda mashabiki tunaona ni vizuri tukawa na wachezaji wanao cheza kila mechi ili iwe vizuri klopp kupanga kikosi kulingana na mpinzani.

Mimi binafsi ile mechi na atletico kukosekana allison nilikasilika sana nilipata hasira kwamba huyu allisson ni wakuuzwa tu,maana inavyoonekana hawezi kumaliza msimu bila ya kuumia zaidi ya mara 3.

Sasa hivi akirudi February pale kwenye uefa ndio tunaitaji ushindi kila mchezaji tunataka awepo yeye atakuwa ameumia tu.

Ni bora asiwepo tu,tusiwe tunamtegemea.

Pia ni vizuri kwenye kusajiri kuwa na wachezaji wasio umia hovyo hovyo,kama hao tunao wategemea sasa,ikiwa hivyo ubingwa tunakuwa tunatangaza mapema sana tu.
Unajua Injuries are unpredictable.

Signings zote ambazo hizi clubs hufanya huwa ni "Kamari", because hauwezi jua once mchezaji akisha-sign atakumbwa na madhira gani uwanjani au hata nje ya uwanja..

Personally, sijawahi kupoteza interest kwa mchezaji kutokana na injuries, as long as mchango wake kwa team akiwa fit huwa ni mkubwa, you see, players na wenyewe ni binadam, huwa wanaumia sana mentally wakiwa wanasumbuliwa na injuries, because inamaanisha kuwa career zao zinakuwa siyo kama vile walivyotegemea, so blaming/cursing players kwasababu wana-suffer from injuries siyo sportsmanship kabisa.

lets say, kuna wachezaji ambao wanapata big injuries, na kupoteza kabisa pace/movements/sharpness etc, hawa wanaishia kuwa mzigo kwenye team, na Club/Coach pamoja na fans wanakuwa right kabisa kuomba/kumuondoa kwenye team, for the betterment ya the whole club, because mchango wao unakuwa mdogo sana.

At LFC, mchezaji ambaye ana-suffer sana na injuries ni JOEL MATIP, but akiwa fit unaona mchango wake ulivyo mkubwa sana, so you cant just sell mchezaji wa aina hii kama hauna good plan ya kum-replace, a fit Matip is a world class CB, unatakiwa kum-replace na a very good CB, na ndiyo maana unaona Club inaendelea ku-risk mpaka pale itakapopata m-badala sahihi kabisa wa Matip, but kama Matip angekuwa kapoteza uwezo kabisa sidhani kama angekuwepo LFC mpaka sasa, but unamuona now anavyo-step up kipindi ambacho VVD na Gomez hawapo, na anachofanya Klopp now ni ku-manage his minutes.

Case, ya Keita ni kuwa kama anataka ku-savs his LFC career ni lazima achague kati ya Guinea AU LFC, ana tatizo la Muscular, na kila akienda Guinea anali-trugger, Klopp hajamkatia tamaa kwasababu ya umri wake (24), na pia ni kwasababu ni one of his record signings and on top of that kila akiwa fit mchango wake unaonekana, but anatakiwa ajiongeze now, kama anataka ku-save his LFC career.

Mfano mdogo ni Shaqiri, he can be out for atleast 3 months, but akirudi anakushindia mechi ngumu sana, tumeona msimu huu, na ndiyo maana Klopp hataki kumuuza, ni hidden card, teams zingine hazina watu kama hawa, we're so lucky to have players kama Shaqiri.

We're right to demand player's fitness & availability, but katika kipindi hiki ambacho tupo kwenye injury crisis, tunatakiwa tuache Club i-manage players kwa umakini sana, VVD & Gomez are out for the season, so we're so short at the back, so an injury to Matip or Fab, and we'll have to rely on Nat/Rhys mpaka Jan, and its not good when ukiangalia form ya Spurs na Chelsea, plus a MF of Hendo/Gini/Curtis needs a solid back line to sustain their vulnerbility in the middle, we're in crisis, we're managing hii situation kwasababu ya Klopp, na WC players kama Fabinho (most important player in the squad right now), Matip, Gini (his availability and good form), Mane, Salah and Jota (Yes, Jota, form yake right now inatusaidia sana interms of goals-return) so unaweza kuona kuwa tunahitaji players like Thiago/Keita/Shaqiri & Ox kuwa managed vizuri ili waje kusaidia kuanzia mid dec- March, when hawa players wanaocheza kwa nguvu sana (especially the whole MF) wakiwa fatigued and out of form.

Going forward, we'll need players with good availability record, but for now, lets stick & trust hawa tulionao kwanza, and see out this season, funny thing is, tuna wachezaji si chini ya tano-sita ambao wana good availability record (Gini, Robertson, Trent, Salah, Mane & Firmino), wengine wote wanapata matatizo ya mara kwa mara, but kwa kuwa msimu huu tumekumbwa na injury crisis kubwa, tunaona vitu kwenye clear picture, but in reality tumekuwa na tatizo kubwa sana la fitness, lakini Klopp ameweza kuli-manage.
 
If Milner and Henderson who both to me offer less than Gini can be given that lengthy contract why not this cool boy...

As long as the contract is 3 yrs am okay with that...

Him going and us remaining with akina Keita, Chambo, Hendo, Thiago who are injury prone man that doesn't sound cool...

Otherwise in Klopp i trust...

YNWA
Henderson got his new Contract at 28, and ni less than 120k

Milner, analipwa 150k, hii ni pesa anayolipa tangu a-sign mkataba wake kutokea City, sahiv club inachofanya ni kumuongezea bila pay-rise na he's down to it, but we all know this is his last season.

Gini at 30, anataka a 3-year deal with 180k wages p/w, lets not fool ourselves Gini ni mchezaji ambaye ni rahisi sana kum-replcae, you cant just replace players like Mane/Salah & VVD, na huwez ukampa mkataba kama huo at 30, ni kamari ambayo hakuna businessman mwenye akili anaweza kuicheza, and Captain you kuwa Klopp first choice MF bila hizi injuries ni Fabinho-Thiago-Henderson (MF iliyoanza dhidi ya Everton), so tushajiuliza bila Thiago & VVD injuries, Gini angekuwa regular? yes ame-step up sana now but the club offer is still the same, kama haitaki he can just leave for free.
 
Gini knows he is a deliver and he is in his prime age field wise and he also knows this might the most lucrative extention he will ever get that why he will put all his efforts to get the best he can from us or Barcelona or any team out there needing his super guaranteed services...

Generous to Edwards but Gini still seeing aint the level he will be happy..

Do you remember Makelele alivyotoka Madrid akiwa bado na mpira wake mwingi tu basi ndio huyu Gini... There is a reason even Klopp with fully fit squad bado anakomaa na Gini and surely the boy rarely disappoint...

YNWA
Klopp hataki kumpa Gini a 180k deal p/w na ndiyo maana mpaka leo hajasign mkataba wake.

Dont get me wrong, i'd be over the moan if Gini signs the Contract ambayo Club ime-offer, but sitopata shida hata kidogo kama akiondoka for free.

Sometimes, tunahitaji kuondoa hizi sentiments kwa hawa wachezaji wetu, Gini alikuwa in bad bad form kuanzia dec last year mpaka kwenye project restart, hii ni kuonesha kuwa ana ishu kubwa sana ya consistency, unaweza ukasema its ok kama angekuwa kwenye his 20's, but he's 30 now, huwezi ku-gamble na 180k now.
 
Henderson got his new Contract at 28, and ni less than 120k

Milner, analipwa 150k, hii ni pesa anayolipa tangu a-sign mkataba wake kutokea City, sahiv club inachofanya ni kumuongezea bila pay-rise na he's down to it, but we all know this is his last season.

Gini at 30, anataka a 3-year deal with 180k wages p/w, lets not fool ourselves Gini ni mchezaji ambaye ni rahisi sana kum-replcae, you cant just replace players like Mane/Salah & VVD, na huwez ukampa mkataba kama huo at 30, ni kamari ambayo hakuna businessman mwenye akili anaweza kuicheza, and Captain you kuwa Klopp first choice MF bila hizi injuries ni Fabinho-Thiago-Henderson (MF iliyoanza dhidi ya Everton), so tushajiuliza bila Thiago & VVD injuries, Gini angekuwa regular? yes ame-step up sana now but the club offer is still the same, kama haitaki he can just leave for free.
180 🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙌🙌🙌🙌🙌Hapana hapa ndio hua inasema kila mchezaji ana bei yake ni huyu ingekua mkataba haushi basi angeuzwa kabisa..

He is a great Player but not worth those kind of digits kwa kweli hapo sasa nimeelewa msimamo wa Klabu...

What can i say ametutumikia vyema and every good story must have and ending so apambane tupate makombe especially EPL na tutamtakia maisha mema anakokwenda...

Football now is living in challenging times hio mishahara ya hivyo sio wakati wake unless for exceptional talented players...

Edwards bila shaka ana plan B life without Gini.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom