Baada ya Mourinho kumpiga Pep Kwa uhakika kabisa..naona Pep labda asajili January ..ndo atakuwa threat..Yep but mh... mimi namhofia zaidi Pep aisee.
Over a season's spectrum, it's the "class" (not "form") that worries me the most.Baada ya Mourinho kumpiga Pep Kwa uhakika kabisa..naona Pep labda asajili January ..ndo atakuwa threat..
Huyu a nasepa na si wajua mchezaji Akiondoka bure hela ya usajili yote yake. Na klopp naona ashapata mbadala ndo maana hana. Mbwembwe za kumuongezea kama alivyofanya kwa Can Emre. Utashangaa Grujic anakuja kuchukua dimba mazimaBwana Gini sielewi anataka nini kama ni mkwaja wampe tu au miaka minne apewe maama huyo Koeman wake anaemhitaji pale Barcelona sioni akiwepo mpaka Mei 2021 matokeo hayaridhishi...
Kama anataka new challenge basi hatuna namna tumfaidi huu msimu wake wa mwisho hakila dogo ni comrade in arms aisee... Salute nyingi sana kwake...
Klopp anasema wako powa na angependa asaini... Gini anasema mambo hayo hayazungumzi kwe media... Muda utasema... Pazuri ni kwamba anajituma haswa bila kujali ishu za mkataba..
Gini The Cool Ruler...
YNWA
Mkuu unaamini Koeman atakua Barcelona mpaka pale dirisha la Juni 2021 linafunguliwa aisee sidhani maana La Liga wamekamatika na kule hakunaga uvumilivu kabisaa...Huyu a nasepa na si wajua mchezaji Akiondoka bure hela ya usajili yote yake. Na klopp naona ashapata mbadala ndo maana hana. Mbwembwe za kumuongezea kama alivyofanya kwa Can Emre. Utashangaa Grujic anakuja kuchukua dimba mazima
Sent using Jamii Forums mobile app
MF maestro...
kwenye hilo kundi tajwa nilikuwemo, niliamini wolverhampton wana uwezo wa kuleta upinzani dhidi yenu pale anfield kutokana na jinsi nilivyowaona mechi yao dhidi ya arsenal.Game vs Leicester City na hii ya Wolves zilitegemewa kusumbua, badala yake zimekuwa game nyepesi sana.
Utabiri wangu msimu huu kufungwa Anfield tutafungwa na timu iliyoko kwenye position ya kuanzia 15.
kwenye huu mlinganisho wa magoli na mechi walizocheza kati ya ronaldo na mohammed salah bado sijaiona hoja ya msingi ya kumfanya salah awe wa thamani kiubora mbele ya ronaldo(kwa kutumia reference hiyo hiyo ya ligi ya uingereza).
kwenye hilo kundi tajwa nilikuwemo, niliamini wolverhampton wana uwezo wa kuleta upinzani dhidi yenu pale anfield kutokana na jinsi nilivyowaona mechi yao dhidi ya arsenal.
pedro neto, podence, traore, fabio da silva, moutinho na wale jamaa kule nyuma wakiongozwa na coady niliamini wataleta upinzani dhidi yenu na nilijiwekea ratiba ya kuiangalia hii mechi la usingizi ukahama na ratiba yangu (huwa siangalii mechi za liverpool, kwa ufupi nawachukia mno hata kwa kuwaangalia na msimu huu nimeangalia mechi yenu dhidi ya man city pekee tena kwa dakika 60)
nimeshituka saa 7 usiku (nikajiunga internet baada ya masaa 24 kupita), kukimbilia kwa mr google ananipa matokeo ya magoli 4, nimeingia JF nakutana na habari za ACT, dah! nilizidi kuchafukwa na wivu wenye kuambatana na hasira za kijinga.
=================
mara ya mwisho uliniambia arsenal hawapaswi kuwa reference yangu kuu ya kuonyesha ubora wa wachezaji wa wolves ila nilishindwa kukubaliana nawe hapo juzi ila pia sikutaka kuendeleza ule mjadala japokuwa nilikuwa na hoja.
kumbe ulikuwa sahihi, Arsenal ni middle table team
Na inaweza kuwa ndio timu kubwa pekee inayochanga karata zake za kuwania nafasi ya UEFA kwa msimu ujao kupitia njia ya europe league haliyakuwa ndio kwanza ligi kuu zimechezwa mechi 11.
maisha ni safari ndefu sana
============
hongereni kwa ushindi, kamati ya roho mbaya tutaendelea kuombea japo suluhu mukiwa ugenini.
sina cha kuongeza kwenye hilo bandiko lako.Dah, umenikumbusha ule mjadala wa Arsenal kuwa midtable team jinsi ulivyoanza.
Very bad kwamba hujaiangalia hiyo game, ungepata nafasi ya kuangalia hiyo game ungeelewa kwa nini Arsenal haifai kutumika kama kipimo unapozungumzia timu zinazogombea UEFA kwa sasa. Hata mfano game ya Leeds vs Arsenal ya 0 - 0, then angalia jinsi Chelsea alivyomchachafya Leeds, Leicester vs Arsenal, then Leicester anakufa kirahisi kwa Liverpool.
sina cha kuongeza kwenye hilo bandiko lako.
pia umenipa assignment ngumu ya kuzifuatilia rasmi timu nyenginezo pindi zinapocheza ukiondoa manchester united japokuwa mwili umeshachoka na heka heka za mapira yasiokwisha.
msimu huu timu inayoshika nafasi ya 10 imezidiwa kwa alama 7 dhidi ya timu mbili zinazoshika nafasi ya 1 jambo ambalo pengine ni tofauti kabisa na takwimu za misimu uliopita, cha kushangaza zaidi timu inayoshika nafasi ya 12 ambao ni Aston villa endapo watafanikiwa kushinda mechi zao mbili (wamecheza mechi 9) wanasogea hadi nafasi 3 kwa tofauti ya alama 3.
ule msemo wa kila mtu ashinde mechi zake ndio unapaswa utumike msimu huu.
The bitter truth...Dah, umenikumbusha ule mjadala wa Arsenal kuwa midtable team jinsi ulivyoanza.
Very bad kwamba hujaiangalia hiyo game, ungepata nafasi ya kuangalia hiyo game ungeelewa kwa nini Arsenal haifai kutumika kama kipimo unapozungumzia timu zinazogombea UEFA kwa sasa. Hata mfano game ya Leeds vs Arsenal ya 0 - 0, then angalia jinsi Chelsea alivyomchachafya Leeds, Leicester vs Arsenal, then Leicester anakufa kirahisi kwa Liverpool.
Jana game ya Tottenham iliisha first half tu, bahati mbaya sikuangalia kipindi cha pili ambacho matokeo yaliisha 0 - 0, wanaweza kuwa waliongeza kiwango, ila first half ilikuwa ni messy (inaweza kuwa ni big call kwa Arsenal hii kupata matokeo kwa Tottenham ya sasa, so we can excuse them).
Ligi bado ni changa sana, sana, lakini haituzuii kuendelea kufanya predictions kwa kuangalai status ya sasa. Mpaka sasa Chelsea kwangu anaingia kwenye kundi la real contenders, last time nilikuwa namkataa kwa kigezo kwamba hana kocha, lakini sasa hivi jinsi Chelsea anavyobadilika kulingana na mechi inaniambia habari tofauti kabisa.
Tottenham upepo utakata muda mfupi tu ujao, kuna uwezekano hata top 4 ikawa ngumu kwao, kwa wachezaji alionao Mou, formula yake nina uhakika haitafika mwisho kabla ya wachezaji upepo kuisha, na hana sub ya kutosha.
Man City ni timu ambayo siwezi kui-underrate, haiko mbali na anayeongoza ligi, na ni timu ambayo unaweza kuipa dhamana ya kuwa kwenye top 3.
Man United wengi hatuiwazii sana, ila binafsi naogopa, kocha hakuna lakini mentality ya wachezaji chini ya Bruno siyo ya kuipotezea.
Top 4: Liverpool, Chelsea, Man City, Man United (au Tottenham).
Arsenal atamaliza akiwa namba 10 au zaidi.
GoodFanya segmentation kwa hizi timu ambazo ni top 6; mechi 6 za kwanza, na mechi 5 za mwisho
Timu zote nilizoziweka hapo ukiacha Leicester City, zimepoteza points nyingi zaidi kwenye mechi 6 (5 kwa Utd na City) za mwanzo kuliko 5 za mwisho. Sample bado haitoshi kufanyia hitimisho, lakini binafsi naweza sema ni kwamba big teams zinaendelea kupata matokeo mazuri kadri muda unavyosonga, zinashika moto.
- Tottenham: Mechi 6 za kwanza amepata 11 points out of 18, mechi 5 za mwisho amepata 13 points out of 15.
- Liverpool: Mechi 6 za kwanza amepata 13 points out of 18, mechi 5 za mwisho amepata 11 points out of 15.
- Chelsea: Mechi 6 za kwanza amepata 9 points out of 18, mechi 5 za mwisho amepata 13 points out of 15.
- Leicester: Mechi 6 za kwanza amepata 12 points out of 18, mechi 5 za mwisho amepata 9 points out of 15.
- Man United: Mechi 5 za kwanza amepata 7 points out of 15, mechi 5 za mwisho amepata 12 points out of 15.
- Man City: Mechi 5 za kwanza amepata 8 points out of 15, mechi 5 za mwisho amepata 10 points out of 15.
Zile team zilizoanza na moto kama Arsenal (3 straight wins), Aston villa (4 straight wins) na Everton (4 straight wins) zimeshaanza kupotea, na zitapotea zaidi.
Sababu ni zile zile, vikosi vipana kiasi cha kumanage injuries, chemistry issues kwa timu kubwa zinakuwa na watu wapya wengi so wameshaanza kuzoeana, coaching pia.
Kwa hiyo muda utafika wakubwa watajitenga na watoto.
Why Should we oflload Thiago?Nafikiri Liverpool wanamwacha aondoke kwa ajili ya growth ya wachezaji kama Jones.
Ila binafsi ningetamani kuwa offload Thiago na Keita, na nitafute best mid anayeweza kunipa magoli na assists, kucreate chances.
Gini is 30, na anataka same contract kama ya Salah & VVDBwana Gini sielewi anataka nini kama ni mkwaja wampe tu au miaka minne apewe maama huyo Koeman wake anaemhitaji pale Barcelona sioni akiwepo mpaka Mei 2021 matokeo hayaridhishi...
Kama anataka new challenge basi hatuna namna tumfaidi huu msimu wake wa mwisho hakila dogo ni comrade in arms aisee... Salute nyingi sana kwake...
Klopp anasema wako powa na angependa asaini... Gini anasema mambo hayo hayazungumzi kwe media... Muda utasema... Pazuri ni kwamba anajituma haswa bila kujali ishu za mkataba..
Gini The Cool Ruler...
YNWA
Why Should we oflload Thiago?
You're wrong Man..Injuries mkuu, kwa history ya injuries zake na ninachokiona, nashawishika kuwaza kwamba ataendelea kuwa hivi hivi, mechi mbili ndani, mechi 6 nje.
You're wrong bro..
Context ni muhimu sana kwenye ishu ya Thiago..
Yes, he had bigger injury problems before, but recently he managed to skip past them, he had a very good season in his last outing at Bayern.
He came at LFC with NO injury concerns, until that reckless challenge from Richarlson (tunasahau sana hii kitu), and we should be thanksful ile challenge haijaharibu his ACL or MCL, he just suffering from Bone bruises, which takes 3-6 weeks to completely heal, na ndo maana few days after that challenge aliendelea ku-train mpaka alipoanza kujisikia discomfort and little pain, na Klopp hataki kum-rush mpaka pain yote iishe, and thats why the club is taking it week by week, he wants to play but Klopp is the one who can pull the last card, hataki kurudia same mistakes kama za Keita, ambaye he was rushed back baada ya ile challenge ya Raktic na mpaka sasa anasuffer na muscular injuries.
I dont see how you'd want to offload Thiago kabla hata ya kuona ata-adjust vipi baada ya ku-recover from his bone bruises, Keita was injury free at Leipzig, Alisson was injury free at AS ROMA, Matip was injury free at Schalke, Fabinho was injury free at Monaco, Shaqiri is a known injury free player etc, but now wanapata injuries za mara kwa mara, especially Alisson. so give Thiago a chance a see how he can adjust, kuna players hawakuwahi kuwa na injury problems before but imekuwa tabu kwao at LFC, so kila.mchezaji ana njia yake ya ku-adjust kwenye new club.
View attachment 1644349