Natamani mkutane na semion tena
Awaoneshe kuwa hakubahatisha kuwapiga nje ndani
Barcelona kila mtu anamtamanAu Barcelona turudie kichapo???
Chelsea wameota mapembe, naona wanamtaka buyern [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Aje atletico ili tuwaonyeshe kuwa tunajua, msimu uliopita walibahatisha mitaani washabiki wa kukodi walichonga sana