Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Game vs Leicester City na hii ya Wolves zilitegemewa kusumbua, badala yake zimekuwa game nyepesi sana.
Utabiri wangu msimu huu kufungwa Anfield tutafungwa na timu iliyoko kwenye position ya kuanzia 15.
Utabiri wangu msimu huu kufungwa Anfield tutafungwa na timu iliyoko kwenye position ya kuanzia 15.
, given what he's done since he's come in. Gini is at the wheel, man. He's doing it. He's doing his thing.