Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Klopp hataki kumpa Gini a 180k deal p/w na ndiyo maana mpaka leo hajasign mkataba wake.

Dont get me wrong, i'd be over the moan if Gini signs the Contract ambayo Club ime-offer, but sitopata shida hata kidogo kama akiondoka for free.

Sometimes, tunahitaji kuondoa hizi sentiments kwa hawa wachezaji wetu, Gini alikuwa in bad bad form kuanzia dec last year mpaka kwenye project restart, hii ni kuonesha kuwa ana ishu kubwa sana ya consistency, unaweza ukasema its ok kama angekuwa kwenye his 20's, but he's 30 now, huwezi ku-gamble na 180k now.
To what i see the boy must looking around the MF area na kuona he might be the fittest of all since he rarely get big injuries since he joined...

So perhaps anajiona he deserve the pay that will translate to the minutes he clocks for the club while as his fellow MFs wanakua wagonjwa most of times..

Sometimes ni kweli mpira unamkataa haswa tena consecutive games lakini sasa muda mwingi hua anajikuta yupo yeye aa most senior fit MF i think he is basing his demands on that category.. Gini is second to play many minutes under Klopp wa kwanza atakua Bobby..

Now with much competition for MF he is rising his game to the next level if he can maintain that the better...

Perhaps Klopp knew this gonna happen ndio maana akaleta the much decorated winner in Thiago to take over the Gini slots...

Whatever happens in the future i just wish him the very best... He has been with us for the last 5 seasons i think and that Barcelona comeback in UCL was his best ever performance in a Red shirt so far...

In the meantime Jones taking notes.. He aint far to make the cut...

YNWA
 
Sometimes hawa wachezaji wanakuwa na msimu mzuri sana pale wanapokaribia mkataba mpya, wanakuwa motivated na contract expectations zaidi kiliko kitu kingine.

Kwa hiyo kumpa mkataba wa miaka 3 inaweza kuwa risk kwa mtu kama Gini, probably after signing he might get back to his inconsistencies and we will have nothing to do.
 
180 Hapana hapa ndio hua inasema kila mchezaji ana bei yake ni huyu ingekua mkataba haushi basi angeuzwa kabisa..

He is a great Player but not worth those kind of digits kwa kweli hapo sasa nimeelewa msimamo wa Klabu...

What can i say ametutumikia vyema and every good story must have and ending so apambane tupate makombe especially EPL na tutamtakia maisha mema anakokwenda...

Football now is living in challenging times hio mishahara ya hivyo sio wakati wake unless for exceptional talented players...

Edwards bila shaka ana plan B life without Gini.

YNWA
Gini is just a "decent" footballer.

He's been a good servant at the club, but his demands are way out of the line.

The club should try and sign Bissouma wa Brighton, will be cheap & a perfect Gini's replacement.

If Gini decides to stay, then thats good for squad and the club, na kama atataka kuondoka then we cant complain, and he should get a proper send off as a club legend, him & Mane ndiyo walionzisha hii Klopp revolution, Klopp's first ever signings, na ameplay role kubwa kwenye mafanikio tuliyopata as a club for the last 2-3 years. i'd want him to stay, but if he wishes to LEAVE, then he can LEAVE.
 
At 120 for MF sounds more than cool... I doubt Barcelona na shinda walizonazo kama ataipata hio 180...

Barcelona wenyewe are trimming thier squad to balance the payroll sasa hio 180 lol sioni akiipata..

YNWA
He wilk go to Barca kama Koeman atakuwepo next year.

But, koeman wont survive that long, dead man walking.
 
If the team offers 120k p/w for 3 years I would advise him to take it.

Otherwise, he should look for something better out of there.

With EPL, UEFA and Club WC on his resume, better for him.
He wants a big package man..

to be honest, Club ingeweza kumpa kama angekuwa in his mid 20's but at 30? sidhani Aisee, hii ni mistake waliyofanya Arsenal kwa Ozil & Aubameyang.

Fabinho is getting a new big deal soon, hii ni kwasababu he's just 26, kama angekuwa kwenye 30, pamoja na ubora wake wote alionao asingepata hii deal, value for money ni muhimu sana.
 
To what i see the boy must looking around the MF area na kuona he might be the fittest of all since he rarely get big injuries since he joined...

So perhaps anajiona he deserve the pay that will translate to the minutes he clocks for the club while as his fellow MFs wanakua wagonjwa most of times..

Sometimes ni kweli mpira unamkataa haswa tena consecutive games lakini sasa muda mwingi hua anajikuta yupo yeye aa most senior fit MF i think he is basing his demands on that category.. Gini is second to play many minutes under Klopp wa kwanza atakua Bobby..

Now with much competition for MF he is rising his game to the next level if he can maintain that the better...

Perhaps Klopp knew this gonna happen ndio maana akaleta the much decorated winner in Thiago to take over the Gini slots...

Whatever happens in the future i just wish him the very best... He has been with us for the last 5 seasons i think and that Barcelona comeback in UCL was his best ever performance in a Red shirt so far...

In the meantime Jones taking notes.. He aint far to make the cut...

YNWA
Tulishawahi ku-discuss hapa kuwa, kuwapa mikataba mikubwa basic british players kama kina Henderson, Ox, Lallana etc, kuta-set bad trend kwa other players, now Gini anajiona ni bora kuliko Hendo/Ox and Keita, ukiachilia mbali kuwa analipwa pesa ndogo kuliko hawa, pia hatotaka kulipwa sawa na hawa pia, fitness yake inamfanya ajione ana umuhimu kama wa kina Salah/Mane/Firmino/VVD/Alisson/Fabinho etc, he's right kwa upande wa fitness, he's not a special player but you can always count on him kuwa fit and readay to go to war, but i understand the club, at 30 tayari ni too late ku-offer a bumper deal, offer yake bado ipo mezani, so suala ni yeye tu kukubali, offer ya club haijawahi kubadilika.
 
Sometimes hawa wachezaji wanakuwa na msimu mzuri sana pale wanapokaribia mkataba mpya, wanakuwa motivated na contract expectations zaidi kiliko kitu kingine.

Kwa hiyo kumpa mkataba wa miaka 3 inaweza kuwa risk kwa mtu kama Gini, probably after signing he might get back to his inconsistencies and we will have nothing to do.
Ni risky sana hii.

ws gave Firmino a BUMPER deal at 28, look at him, he's been playing like a 37 year old Rickie Lambert, thanks God we havs Jota now, he will give him a wake up call.
 
Upo sahihi by the way tukijiuliza is Gini the anchor of all all wins akiwa uwanjani mhmh i will say a BIG NO he got influence ila sasa end product yake hatutaikosa more like Robertson ama TAA the way we suffer when they under perform....

Honestly 180k lol hapana aisee... Namkumbali lakini got to be realistic kabisa.... He aint worth that much... Kama alivyoodoka Emre Can na huyu ni hivyo hivyo hakuna namna...

His consistency is not the top level and we are okay with that since others are rising to the occasion ila anachokitaka sasa ni ngumu kwa kweli...

YNWA
 
Gini is just a "decent" footballer.

He's been a good servant at the club, but his demands are way out of the line.

The club should try and sign Bissouma wa Brighton, will be cheap & a perfect Gini's replacement.

If Gini decides to stay, then thats good for squad and the club, na kama atataka kuondoka then we cant complain, and he should get a proper send off as a club legend, him & Mane ndiyo walionzisha hii Klopp revolution, Klopp's first ever signings, na ameplay role kubwa kwenye mafanikio tuliyopata as a club for the last 2-3 years. i'd want him to stay, but if he wishes to LEAVE, then he can LEAVE.
MosDef nawe umoo kumbe huyu dogo Yves wa Brighton ushamuona aisee well to be honest he is made for the bigger stage wakiwa na March...

My choice ilikua Camavinga ila sasa naona even Manchester United, Real Madrid nk wakimtolea macho meaning itakua ishu kumnasa...

My second choice alikua Houssem wa Lyon nae huyu wanakomaa negotiation will begin kukiwa ma ofa ya £40m mezani upwards... Sasa meaning hata mshahara ata demand bigger digits...

Now after watching Yves pale Brighton am really optimistic this can be a killer signing kama Robertson, Jota nk we have bought within EPL..

Gini is a revolutionary man in Klopp ideas he has made the job ionekana so easy and through his gooe work together with the boys they have taken back to the summit and we are now serial contenders and for that we grateful kwa kweli...

In Edwards i trust...

YNWA
 
Tulishawahi ku-discuss hapa kuwa, kuwapa mikataba mikubwa basic british players kama kina Henderson, Ox, Lallana etc, kuta-set bad trend kwa other players, now Gini anajiona ni bora kuliko Hendo/Ox and Keita, ukiachilia mbali kuwa analipwa pesa ndogo kuliko hawa, pia hatotaka kulipwa sawa na hawa pia, fitness yake inamfanya ajione ana umuhimu kama wa kina Salah/Mane/Firmino/VVD/Alisson/Fabinho etc, he's right kwa upande wa fitness, he's not a special player but you can always count on him kuwa fit and readay to go to war, but i understand the club, at 30 tayari ni too late ku-offer a bumper deal, offer yake bado ipo mezani, so suala ni yeye tu kukubali, offer ya club haijawahi kubadilika.
Going by the EPL trend ya our competitors its makes sense dogo Gini kupewa 2/3rs contract with sensible pay..

Manchester City na Chelsea wana policy yao ukishafika 30 unapewa longest ni 2 yrs contract renewable na tena mshahara unapunguzwa and wanatoa as long as ni special case kabisa... Tumeona akina Yaya, Silva, Kompany nk wakiwa released huku bado wakiwa na something to offer uwanjani...

KKlopp top performers wanaelekea to thier prime years tazama Salah, Bobby, Mane, VVD nk they are heading to 29s hivyo hata intensive job uwanjani will come down as they age meaning Klopp should be ahead to start recruiting to sustain our competitive edge ni sishangai kuona Jota at 23 pale at that price, Klopp has mastered whats its takes to remain at the top in EPL na hata wale watoto wengiii alionunua this time alifanya vile witu Brexit in mind that signing below 18yrs players will be almost impossible come January 2021 so am positive we are in the right track...

Whatever Klopp decide with Gini is the best for the team period...

YNWA
 
He wilk go to Barca kama Koeman atakuwepo next year.

But, koeman wont survive that long, dead man walking.
Gini then is trending on thick ice man yaani Liverpool anakutaka aafu Barcelona anakutaka...

Barcelona position in the La Liga is the worst they have ever been for the 30 years or more now Gini must crazy thinking after Barcelona election in March 2021 Koeman will still be there and am sure the incoming president will be campaigning promising certain names in the Managers slot nk...

If i were him then 120k is good as its can be..

YNWA
 
Ni risky sana hii.

ws gave Firmino a BUMPER deal at 28, look at him, he's been playing like a 37 year old Rickie Lambert, thanks God we havs Jota now, he will give him a wake up call.
Haha Rick the die hard fan am sure he was overwhelmed by the Anfield atmosphere haha playing for his boyhood club went South ila khaa Rodgers sijui pale aliwaza nini kwa kweli...

Bobby na yeye sasa anaanza kuamka that what competition can do...

Muone Robbo after Klopp bringing in Tsimikas wee dogo hata akiumia yumooooo haha noma sanaa...

YNWA
 
Mkuu unaamini Koeman atakua Barcelona mpaka pale dirisha la Juni 2021 linafunguliwa aisee sidhani maana La Liga wamekamatika na kule hakunaga uvumilivu kabisaa...

Subiri Xavi anakwenda kuchukua klabu mazima na ndio utakua mwisho wa Gini kutua pale...

Labda Wakala wa Gini awakomalie Barcelona wasaini pre contract ambayo inaruhusiwa January hii ili ajiunge nao 2021 Juni...

Unikipa Grujic na Gini mwenzangu nakwenda na Gini...

YNWA
Mi sijaongeolea Yeye kwenda barca. Nachosema ni kuwa hata sign mkataba mpya ashaamua pa kwenda na ndo maana wameacha amefika 12 months za mkataba wake
 
Kwa maelezo ya wadau nimegundua wachezaji wa kigeni huvunjika moyo na kucheza chini ya kiwango sababu wazawa wanapewa mishahara mikubwa na mchongo mdogo kwenye tim.

Makelele si aligoma Madrid ujio wa Bekam? Kwa mwenye kumbukukumbu.
 
LIVERPOOL TEAM NEWS

Team to play Midtjylland:

Kelleher, Alexander-Arnold (C) , R Williams, Fabinho, Tskimikas, Clarkson, Keita, Minamino, Jota, Origi, Salah.

Subs: Adrian, Jaros, Wijnaldum, Firmino, Mane, Henderson, Jones, Robertson, Matip, Cain, N Williams, Koumetio.

Captain ni TAA.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom