Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Duh mwenzio Keita nilishanyanyua mikono juu kabisaaaaa huyu ni wa kuuzwa period...Matip, Robbo, Fabby, Thiago na Keita wako fit kwa ajili ya game.
Utabiri wa kikosi
Golini: Allison.
Beki: Milner, Robbo, Matip na Fabinho.
Katikati: Thiago, Keita na Gini.
Mbele: Jota, Mane na Firmino.
Tutashinda kwa 3 - 1.
Aanze Jones ni fresh legs ili Gini asaidie upande wa Milner kupeleka mashambulizi mbele...
YNWA
