Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG_1777.jpg
 
Kuna watu Kama hamuelewi Boby kumbukeni Ni Bado Sana kumlinganisha Jota na Boby

Boby Ni zaidi ya yeyote pale Liver
 
Kuna watu Kama hamuelewi Boby kumbukeni Ni Bado Sana kumlinganisha Jota na Boby

Boby Ni zaidi ya yeyote pale Liver
Mzee tunaongelea impact kwa sasa wewe unaleta historia. Kuna mtu asiyemjua Firmino humu?

The issue ni kwamba jamaa kadrop. Kawa very blunt. Mpira ni ushindani boss. Mtu akija akiku outperform unakaa benchi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom