Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Milner atasababisha penalt 150 [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana hujaeleza vizuri mkuu [emoji28][emoji28]
 
Mbele wale watatu ujinga tu Ani

And jota needs to start
 
Mane na Salah mmoja aondoke wazo langu tu

Laweza lisiwe sahihi Ila kwenye tv tu naona wasivopendana
 
Hivi OX na KEITA tutawajadili saa ngapi?

Coz nikiangalia Mshahara wanaokula na kile wanachodeliver kama haviendani!!!

Ni bora tu waende sehemu nyengine wakajatibu bahati zao.
 
Hivi OX na KEITA tutawajadili saa ngapi?

Coz nikiangalia Mshahara wanaokula na kile wanachodeliver kama haviendani!!!

Ni bora tu waende sehemu nyengine wakajatibu bahati zao.
Hasa keita
Hajawai ku deliver to his standard kabisa.
 
As long ww hutoi hata pesa ya kadi ya uanachama kausha tu hayo mengine mwachie Bwana Henry


By the way ni mm tu au huwa naona kama humu ndani yaan hata team ikifanya vizuri tunatafutaga ujinga wa kubishana usio na maana???
 
Hivi OX na KEITA tutawajadili saa ngapi?

Coz nikiangalia Mshahara wanaokula na kile wanachodeliver kama haviendani!!!

Ni bora tu waende sehemu nyengine wakajatibu bahati zao.
Sikujui personally ila 90% ya vitu unavyoongea ni negative toward the team or a certain player ........that's show how negative you are in your life


Hv kama tunaongoza ligi na tunalalama hv ilikuwaje kipindi kile tunachezea vichapo enz zile????

So baada ya Ox na keita kuondoka nan afuate kuondoka firmino au minamino ??au alcantara kwa sababu tumepigwa anashinda hospital tu yule???au wijnaldum kwa sababu anaperfom akijisikia???au Henderson kwa sababu anabebwa na uingereza wake??au gomez maana anazinguaga sana pale nyuma??au mane na salah maana ni wachoyo sana??au klop maana ana kiburi sana hasikiliz watu wakimwambia sajili yy hatak???

"Stay away from negative people they have probem for every solution"-einsten
 
😄😄😄😃 Hakuna cha Negative wala Positive hapo,
Keita ni project failure ambayo iko wazi Tangu amesajiliwa huyu jamaa hajawahi kufanya kitu chochote kile cha maana kwa Liverpool Na kinachokera zaidi ni yeye kuvaa jezi 8 huku uwezo hana........NB Nilichogundua Keita ana umri mkubwa tofauti na umri tunaoujua sisi Keita ni Mzee Keita ni wakuuza tu.
 
akiuzwa unakuta haumii tena. kama alivyokuwa lallana sasa hivi kila mechi anacheza. ila kuna muda inatia hasira sana. keita tumemsubiria msimu mzima jezi ijavaliwa na mtu kwa ajiri yake ,anakuja muda mwingi anakuwa kaumia kuliko kucheza.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…