Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,942
- 13,927
Hawa wajinga kweli, prevented Isak to head the ball into the net. Kwamba ilikuwa lazima mpira uingie wavuni.
Hawa wajinga kweli, prevented Isak to head the ball into the net. Kwamba ilikuwa lazima mpira uingie wavuni.
Hapa refa alitupiga tafu kwa kweli bila kujua.
Ufaalaaa mwingi sana aiseeHii timu toka ameondoka Klopp
Imekuuwa timu ya kipuuzi sana
Msimu ulioisha Arsenal walikuwa wanalalamikia sana maamuzi mabovu yaliyokuwa yanawakosesha point muhimu. Katika mechi nzima ya jana gunners wameona zero shot on target ya liverpool tu ila lingewatokea wao kelele zilikuwa nyingi sana