Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu punguza mahaba, Everton walicheza game nzuri na wameadhibiwa pia kwa foul walizocheza, usimtupie mpira Refa na vAR

Mkuu najua wewe ni mtu wa mpira kaangalie hiyo faulo aliyochezewa vvd,ilikuwa ni straight red card.
 
Tulien

Manadhan kubebea epl mara mbili mfululizo ni mchezo

Mnatakiwa kumheshimu pep
 
Adjustments.jpg
 
Mapema sana kusema hivyo mechi alizoondoka na point tatu sio za kumfanya achukue ubingwa maana kila mtu atachukua point tatu kutoka hizo timu.
Siyo kuchukua ubingwa nasema kuleta changamoto kwenye ligi ikiwezekana kutafuta Top Four.

Namuamini sana Ancelloti au makocha wa kiitaliano
 
Msimu uliopita Man city walinyimwa goli Kama hilo, dakika za mwisho, walikuwa na spurs

Unaona maumivu yake

Msimu huu sasa ni zamu yenu kuichukia var,

Baada ya kuwabeba msimu mzima uliopita
 
Dah leo sikutoa utabiri wangu huku ndo maana mechi imetoka draw ...

Angalieni tunavyomla mtu nyama apo Darajani..

Sisi ndio wataalam ..

Nafasi ya pili ileeeee......
#CFC💙💙💙
 
Nilikwambia. Naona kaweka la pili
Anacheza nafasi zote uzuri. Anacheza kama Striker au Wing, so popote atakapo simama kunampa nafasi yaaidha kufunga au kutoa assist. Ndio maana msimu uliopita alikua na double digits kwenye category zote mbili.
 
Hii liverpool msimu huu ulisema tokea ligi inamalizika ..hamna timu ya kusimama misimu miwili mfululizo bila ya usajili wa maana.

Juzi mumeburuzwa goli saba leo mumetowa draw ivyo yani trend inazidi kushuka..

Uyo kocha wenu alibeza usajili wa Lampard tulieni muone matokeo

#CFC

Hater mmoja na timu yake mbovu
 
Hii liverpool msimu huu ulisema tokea ligi inamalizika ..hamna timu ya kusimama misimu miwili mfululizo bila ya usajili wa maana.

Juzi mumeburuzwa goli saba leo mumetowa draw ivyo yani trend inazidi kushuka..

Uyo kocha wenu alibeza usajili wa Lampard tulieni muone matokeo

#CFC
Ebu kapambane huko upate point. Kutwa upo humu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom