Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Mambo yameanza kuwa mambo sasa.
Sema Adrian anatucost sana
Hata Allison hapo angefungwa ni mabeki ndo wazembe hapoJamaa sijui kalogwa. Mbona WHU hakuwa hivi?
Tusi tayariAdrian kaanza teba leo. Sijui atatukanwa tena au leo atanyanyuliwa juu kama mfalme. Yangu macho
Kila lililojema Everton
🙏🙏 bless kakaBasi hapo ni kujua game inaoneshwa na TV gani then unatafuta, sana sana BT Sports, SkySports Main Event na beIN Sports.
Kona ndani ya sita Kipa anakaa tu.Hata Allison hapo angefungwa ni mabeki ndo wazembe hapo
Everton wakifunga 7 basi sisi tutafunga 8 lakini points 3 leo hawaondoki nazo.
Channel gan mkuu. Ahsante Sana Mkuu nimejaribu naona imo vzuri Sana
Adrian golini, Gomez nafasi ya VVD halafu bado unasema utamfunga Everton onfire 8??
.Bt Sports na beIN Sports mkuuChannel gan mkuu
Shida Bado naiona kwa Bobby. Kloop anatakiwa ampumzishe jamaa aisee. Hana msaada kwa timuLeo ninamuona Jodarn Henderson mpya mwenye kila sifa ya kuichezea Liverpool.
Nisiwe mnafiki Henderson kipindi hichi cha kwanza anacheza vizuri sana.
Yani kabadilika kabisa.
.Bt Sports na beIN Sports mkuuChannel gan mkuu