SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,444
Hamna aliyeignore. Bali nyie ndo muliignore ability ya Liverpool kwa kudhani kwamba atakuja jichotea tu points.Sio kwa msaada wa VAR,bali kwa uwezo wa wachezaji na mbinu za kocha wao huwezi kuwa uignore Everton kwa msimu huu sio timu kubeza.
