Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Hii liverpool msimu huu ulisema tokea ligi inamalizika ..hamna timu ya kusimama misimu miwili mfululizo bila ya usajili wa maana.

Juzi mumeburuzwa goli saba leo mumetowa draw ivyo yani trend inazidi kushuka..

Uyo kocha wenu alibeza usajili wa Lampard tulieni muone matokeo

#CFC💙💙💙

Mulikuja na kiherehere hapa sasahivi mumeshakimbia!

Haya mimi nimetoa draw Away, vipi wewe Darajani mumeshinda ngapi?

Chelsea ikimaliza Ligi juu ya Liverpool nitakuwa mshabiki wa Chelsea kwa Season nzima ya 2021/22.
 
Naiheshimu Liverpool hata msimu hii naipa nafasi kubwa ya kuchukua ubingwa na hata mechi leo niliamini atashinda,ila Everton msimu huu ana jambo lake hawa jamaa hawa bahatishi wanajua wanacho kifanya.
Msimu uliopita game ya kwanza matokeo yalikuwa 0/0.
 
Hamna bao lolote Adrian kasababisha leo!
Bao la kwanza ni very powerful header,beki ilitakiwa iwepo pale kuzuia
Bao la pili ni free header,beki ilitakiwa iwepo pale.
Liverpool HALISI tuwe nyuma ya team,hamna haja ya kutukana wachezaji,tuwaachie Liverpool-Pep Guardiola na Liverpool-Ancelotti wafanye hayo
Tuwe nyuma ya team, sahihi kabisa.
Kanuni ya mpira wa kona ndani ya box(6 meters) mpira ambao sio high ball usiovuka ni mpira wa kipa.
1: Eneo lake. Akienda kucheza ukamziba ni foul.
2: Kipa anaruka. Akiruka vizuri akanyoosha mikono ( anaruhusiwa kutumia mikono) ataucheza mpira au kwa heavy punch au kuubadilisha direction na mabeki wataokoa au team itajipanga.
Narudia: In goal keeping principal: Corner save.
Kipa ukibaki kwenye goal line ni nadra sana kuokoa.
 
Hii liverpool msimu huu ulisema tokea ligi inamalizika ..hamna timu ya kusimama misimu miwili mfululizo bila ya usajili wa maana.

Juzi mumeburuzwa goli saba leo mumetowa draw ivyo yani trend inazidi kushuka..

Uyo kocha wenu alibeza usajili wa Lampard tulieni muone matokeo

#CFC
Game yenu mmeshinda?
 
VVD amepata rupture ya Anterior Cruciate Ligament (ACL) ambayo wataalamu wanasema matibabu yake mpaka ifanyiwe surgery! Na wanasema kupona kwake muda wa chini inahitaji Miezi 7.
Bad news man..

Total bad news...

Bitter one to swallow..

So itakua TAA Matip Gomez Robbo oooh dear this is very very unfortunate to imagine..

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom