Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Aliyefaidika ni aliyechukua kombe. Bila hiyo VAR asingechukua.
Acha kuongea kama sio mwanamichezo bro.

Kwa mujibu wa stats Liverpool haipo hata kwenye top 3 ya timu zilizofadika na VAR. Sasa imekuaje walionufaika nazo kwa mara zaidi hawakubeba kombe? Give credits when it is due.

Na ukweli mchungu ni kwamba ukiondoa mechi zote ambazo unaona kabebwa na VAR bado points zake hazikuweza kufikiwa na yeyote.
 
Everton wakawaida sana,wangemfunga leo liverpool nyumbani kwao ningeona wako vizuri.

Sasa huko nyumbani unashindwa kumfunga anfield pale utaweza maana anfield liverpool msimu wa nne sasa ajapoteza pale anfield.
Ligi ya msimu huu na Corona hii mnacheza bila mashabiki,hamna tofauti ya nyumbani wala ugenini kote ni sawa ,wanaweza kuja Anfield na wakapata matokeo.
 
Mkuu ujaangalia mpira wewe everton wakawaida sana mechi ya pale anfield tunawakalisha vizuri sana,msimu ulipita pia tulitoka nao draw hapo goodson park na ubibgwa tukachukua.

Everton wakawaida sana VAR na refa vimewasaidia hawana mpira wowote wa ajabu.
Mkuu punguza mahaba, Everton walicheza game nzuri na wameadhibiwa pia kwa foul walizocheza, usimtupie mpira Refa na vAR
 
Acha kuongea kama sio mwanamichezo bro.

Kwa mujibu wa stats Liverpool haipo hata kwenye top 3 ya timu zilizofadika na VAR. Sasa imekuaje walionufaika nazo kwa mara zaidi hawakubeba kombe? Give credits when it is due.

Na ukweli mchungu ni kwamba ukiondoa mechi zote ambazo unaona kabebwa na VAR bado points zake hazikuweza kufikiwa na yeyote.
Well then it shouldn't happen from the start. Marefa na VAR it was a match made in heaven
 
Hii ndio EPL
IMG_20201017_150815_642.JPG
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom