Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Pale kwenye kiungo tuliwashika haswa. Hamna Doucore, Allan wala Gomes. Wote walitota mbele ya Hendo, Alcantara na Fabinho.

Wakawachezee haohao.

Na kama si VAR kuwa upande wao, tungeongea mengine hapa.

Hope VVD haitakuwa serious injury.
 
Yes moja. Sio tatu. Tena kwa msaada wa VAR. Walikuwa wanaomba mpira uishe.

Ngoja wakikitana na timu kama zenu waendelee kuzawadiwa tatu tatu.
Sio kwa msaada wa VAR,bali kwa uwezo wa wachezaji na mbinu za kocha wao huwezi kuwa uignore Everton kwa msimu huu sio timu kubeza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom