Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Usitukane mamba kabla ya kuvuka mto.... Man cty alituonya...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

You mean no right to save deflection? kwa mipira iliyopigwa golini huwezi kunishawishi kuwa kipa yoyote hawezi kuyacheza.

Mpira unaweza kuingia golini lakini unaona jitihada za kipa, Lakini jamaa anasimama tu kama mbolo insyosubiri papuchi na kuiabgalia mipira inaingia golini halafu asihusike?

Jamaa hamna Kitu kwakweli! Unasema haya kwasababu ni wa Liverpool, Angelikuwa ni Kepa aliyefungwa magoli Yale basi ungeliwakera Blues na mabango ya "KEPA NI SHATI" πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…