AggerFirminho
JF-Expert Member
- Sep 17, 2019
- 2,319
- 4,146
Naona kashakubali hii mechi kafungwa na ndio maana hajamuingiza Henderson asije umia mazima
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpo pungufu unamaanisha mkuu
Tunaambiwa eti katupa Super Cup
Liverpool waliona mech yetu Akidaka Adrian tutafaidi, Maana siku ile Becker hakuwa fit
Naona kashakubali hii mechi kafungwa na ndio maana hajamuingiza Henderson asije umia mazima
Tuuzieni kipa wenu namba 2
Tunaangamia huku
[emoji3].mkuu yaani hii aibu kila wakilenga goli ni goli.
Pengine Samatta alikuwa nuksi