Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,385
Kiingereza hakipo tena, kipigo cha Mbwa mwizi, aliyeiba Nyama ya sikukuu
Hahaaa
Hii gemu mnheshinda shida Golini ni kama hamna kipa
Wakipiga imo
Liverpool waliona mech yetu Akidaka Adrian tutafaidi, Maana siku ile Becker hakuwa fitArsenal wenzangu mnakumbuka nilivyosema tunatakiwa kupiga mashuti?
Dada si utuache kidogo tunywe maji. Bao 5 sio mchezo ujueTulia mchumba
Huyu bwana ni wetu sote...round ya kwanza wote tumepigwa bao nne
Unahitaji pumzi kwa ajili ya hii round ya pili
MIJIOKA FC 😂😂Hii mechi tunashinda
Ungenisingizia huko ningekubonda wallah 😆Eeeeh huko ndio kote kote
Unadhani nitakusingizia na man u 😁😁😁
️Sio kwa huo mpira mrendamrenda😂Kama kawaida kuna jamaa hapa anasema hii meza inapinduliwa
Eti Firmino na Keita wana jambo lao