Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Final ipi unayosemea ?
Hatujawahi kucheza final na nyie.
Hivyo vikombe vya mtaani visivyo hata na mkono ndo unasema final?
Wenzio pale tunakuwaga mazoezini.

Kwanza sisi tuna UEFA kibao nyie mna nini?
Eti carabao..! Hahahah
Wewe jamaa na yule mwingine mnaonekana malimbukeni sana hamjazoea hivi vitu,mtakuwa ni mamluki mliohamia Liverpool,Big up Malafyale halisi tunaiona sasa[emoji16]
 
Pole kwa Ban.

Asante kwa ukaribisho ila me sio shabiki mpya wa Liverpool. Niko muda tu ila sikuwa niki'comment then huu msimu najiona kuwa addicted na mpira that's why na'appear kwa sana.

Niko hapa ❀, niko na kule The Blues πŸ’™
 
Game ya Jana sikuangalia kwa makusudi kwasababu niliamini tutatolewa Carabao kwasababu Klopp havichukulii serious hivi vikombe vya Mickey Mouse Cups.

Hivyo tukaze tu kwenye EPL na UCL.

Atalanta na Ajax si wa kubeza
Mkuu kwa mpira tulocheza jana UEFA tutapigwa pale. Hata hatua ya makundi sioni kama tunavuka.
 
Huyo anshabikia timu mbili[emoji1787][emoji1787]
Liver na chelsea,
Mvumiliane jamani
 
Final ipi unayosemea ?
Hatujawahi kucheza final na nyie.
Hivyo vikombe vya mtaani visivyo hata na mkono ndo unasema final?
Wenzio pale tunakuwaga mazoezini.

Kwanza sisi tuna UEFA kibao nyie mna nini?
Eti carabao..! Hahahah
HahahaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mshabiki asiyejua majina ya wachezaji wake ni [emoji706]
Alafu umetoa povu kama lote[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mkuu, Relax
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…