Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Unaona man city kafa leo utasema nayo siyo timu, Kuna wakati unazidiwa tu. Tatizo hamkubali kuwa vs Leeds mlizidiwa kama siyo zile two penalties tungeandika mengine.
Kuhusu Westbrom yale magoli ni makosa ya mchezaji binafsi hakuna ufundi wowote hata wewe unafunga tu.
#CFC 💙💙💙
Mkuu wala sijawai sema Leeds alikua mwepesi kwetu mbali alipambana haswa na ki ukweli ilikua gemu powa kwetu kama timu kujitadhamini namna ya kuutetea huu ubingwa...

Usikomae sana na hizo penati kwani hata nyie mliipata Allison akaisoma vyema na kuokoa...

Leo Manchester City kazidiwa kila idara... Ogopa sana pale timu inapopaki basi na kupiga kaunta za kihesabu,.. Ndio yamemkuta leo Pep...

Pep anadai kikosi kina majeruhi wengi... Hii ndio EPL hakuna cha majeruhi wala nini kinachosoma ni pointi 3 tu hayo mengine hayasaidii...

Kesho usikose kuangalia gemu uanze wiki na burudani..

YNWA
 
Mkuu game ya kesho ni muhimu sana kuicheki. Lakini mechi zenu za hivi karibuni mmekuwa mkipata matokeo kutokana na matukio ya uwanjani mfano penati, red kadi ..bila hivyo hakuna matokeo chanya. Mara ya mwisho mlicheza na Arse8 na wakawapiga, sasa tutegemee nini kesho? Alcantara akipiga basi kuliko timu nzima ya Arse8 😂😂😂😂?
 
Duh asa unataka wachezaji wapigwe kwata ama wakubatiwe aafu wanaofanya hayo makosa waachwe...

Asa utasema aje leo Leicester kapata penati 4 dhidi ya Manchester City...

Kesho tunaingia uwanjani kusaka ushindi na sitegemei kukosa pointi tatu muhimu nyumbani.. Vijana watakomaa mpaka mwisho..

Mkuu EPL hii inatua nyumbani mazima, mark my words..

Mikel amewabadili the Gunners kupata winning mentality kwa hio itakua bonge la mechi...

YNWA
 
Edwards is damn high grade genius 👇👇👇👇👇👇👇👇👇check this..

Liverpool have been very shrewd in the market. If you look at the Thiago deal, it could be worth with add-ons £25m, but Liverpool have signed him for £5m per year for every year of his contract. That covers the £20m initial fee - that's not bad business. They signed Kostas Tsimikas because they needed cover for Andy Robertson and £11.5m for a reserve left-back is the going rate in the current market.

The biggest outlay has been £45m on Diogo Jota but it is understood that will be spread out over the length of his contract and you have also got to remember they have had some money coming in as well. They have sold to Wolves the defender Ki-Jana Hoever in a deal that could rise to £13.5m. Add to that, they sold Dejan Lovren to Zenit St Petersburg for £11m, Ovie Ejaria went to Reading for £3m and they could yet get £15m from Burnley for Harry Wilson. If that happens, Liverpool could bring in around £40m in transfers making a net spend for Jota, Thiago and Tsimikas just £35m.

If you had told Liverpool at the start of the window they would get these three players in and spend £35m net, they would have taken it."

YNWA
 
Citizen Anakufa huko yaani Citizen mpira wanaocheza wanaonekana wamechoka kuliko hata sisi ahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama mmechoka msiingize timu uwanjani, tulivyoanza ndivyo tunavyomaliza
1600007400472.jpg
 
Ushindi na Usajili ni Kitu kitamu kweli Yani! Nimelalamikia usajili kwa Misimu miwili mfululizo lakini usajili wa ALCANTARA mmoja tu na Ushindi dhidi ya Chelsea pekee umenifanya Nijipige Ban ya Muda kuhusu kulalamikia usajili.

Sasa kilio kitabakia kwa Striker tu.
Mkuu ushindi dhidi ya Chelsea usikupe tumaini lolote siku mlipiga bomu mochwari.

Moto unakuja, Tulia.
 
Guardiola ni Chequebook Manager! Sasa Tajiri wake alipoona FSG hawavamii Soko kumwaga Mamilioni kila Msimu lakini Klopp anashinda Makombe, akaona nayeye kwa Man city Guardiola ataweza, Hivyo kuanzia Msimu uliopita na Msimu huu kaamua kupunguza Budget ya Usajili akiamini bila ya £300M alizozowea kumwagia Guardiola kila Msimu ataweza kufanikiwa! Ona sasa

Backbone ya Mafanikio ya Man City ilikuwa ni Watu hawa Wanne:-

1) Kompany
2) Fernandinho
3) KDB
4) Aguero

Sasa kabakia KDB peke yake ndiye mwenye uhai, sasa wale kina Rodri na Foden ndiyo ashinde EPL? Wana tofauti gani na kina Joginho na Kovacic?
Kuwa na heshima wewe. Hukuwa na haja ya kufananisha Kovacic na upuuzi mwingine. Futa Kovacic weka Henderson na Fabinho
 
Duh asa unataka wachezaji wapigwe kwata ama wakubatiwe aafu wanaofanya hayo makosa waachwe...

Asa utasema aje leo Leicester kapata penati 4 dhidi ya Manchester City...

Kesho tunaingia uwanjani kusaka ushindi na sitegemei kukosa pointi tatu muhimu nyumbani.. Vijana watakomaa mpaka mwisho..

Mkuu EPL hii inatua nyumbani mazima, mark my words..

Mikel amewabadili the Gunners kupata winning mentality kwa hio itakua bonge la mechi...

YNWA
Mkuu ni mapema sana kusema EPL msimu huu inakuja Anfield ndio kwanza tuko game week 3.

Weka akiba ya maneno.
 
Kuwa na heshima wewe. Hukuwa na haja ya kufananisha Kovacic na upuuzi mwingine. Futa Kovacic weka Henderson na Fabinho

Henderson sawa! Lakini nawewe huwezi kumfananisha Fabinho na takataka hizo.
Hakuna Timu kwasasa isiyotamani kuwa na mchezaji aina ya Fabinho, au umeshasahau alivyomfanya Werner aonekane kama Molinga?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom