Kamugy T
JF-Expert Member
- Sep 17, 2018
- 1,110
- 1,226
Klopp Awezi weka full kikosi kwenye carabao. Hi ni game za kina Origi, Minamino, Shaqiri, Milner, Adrian na wengineo
Mission ya pili against Arsenal. uzuri mpira sio kama kutongozwa kwamba kuna option ya kukubali au kukataa, ukiwa mbovu utapigwa tuu hata mara 100 mfululizo, klop aweke full mzigo tuanze na hiki kikombe
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
