OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Dah nilikosea hapo sikujua Chama wa Simba aise😀😀Chamą wa.....![]()
? Kumbe uto kuna chama cha manyani.
![]()
Dah nilikosea hapo sikujua Chama wa Simba aise😀😀Chamą wa.....![]()
? Kumbe uto kuna chama cha manyani.
![]()
Ni MDA 2 cyo benchi dogo naamini atawezaWataondoka. Wilson hata carabao tu kasugua benchi mwanzo mwisho. Hata kama ni mimi sibaki.
Hivi wewe si ulijipiga banHuyu Alcantara tumpe Muda Atafloap tu.
Umeona kazi ya Kai?
Hamna kitu mule, VAR imewabeba tu lakinı ingekomaa lile goli la 3 kuna mtu alinawa ballOllachuga Oc una nuksi msimu huu jitazame hata nafasi big four unaweza ukaikosa ujue..
Haya mpambane yarudi hayo uambulie hata droo...
Kama nawaona DullyJr na Aaron Arsenal
YNWA
Kwa vitu hivi ameachwa mbali sana Waziri Junior wa Uto

Ninyi mlifanya nini kwa Leeds? Mmngeweza kupoteza ile game kama siyo penati mbili mlizopata. Kikosi kuko vizuri ni suala la Muda tuOllachuga Oc una nuksi msimu huu jitazame hata nafasi big four unaweza ukaikosa ujue..
Haya mpambane yarudi hayo uambulie hata droo...
Kama nawaona DullyJr na Aaron Arsenal 🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
YNWA
Ban ilifutwa mkuu.Hivi wewe si ulijipiga ban
Hamkosagi sababu. Tukija wapiga mtasema hivi tena.Hamna kitu mule, VAR imewabeba tu lakinı ingekomaa lile goli la 3 kuna mtu alinawa ball
Mtupeni Arse8 wanapenda vitu vya bei rahisi pale atapata namba
Ninyi mlifanya nini kwa Leeds? Mmngeweza kupoteza ile game kama siyo penati mbili mlizopata. Kikosi kuko vizuri ni suala la Muda tu
Hatushangilii draw ila ni spirit ya kurudisha magoli.
#CFC![]()
Sanaaaaaaaaaaa mkuuChelsea timu ya kawaida sana
Mkuu zile bwebwe zako zilituaminisha kwa usajili huu utakua kila gemu unashinda ili hatimae uwe bingwa 2020 -2021...Ninyi mlifanya nini kwa Leeds? Mmngeweza kupoteza ile game kama siyo penati mbili mlizopata. Kikosi kuko vizuri ni suala la Muda tu
Hatushangilii draw ila ni spirit ya kurudisha magoli.
#CFC 💙💙💙
🤓🤓🤓🤓🤓Lampard naona akitolewa kafara pale maana yule mrusi hawezi weka pesa zile aafu aishie nafasi ya 6...Hamna kitu mule, VAR imewabeba tu lakinı ingekomaa lile goli la 3 kuna mtu alinawa ball
Hawana cha kutuzuiaLampard naona akitolewa kafara pale maana yule mrusi hawezi weka pesa zile aafu aishie nafasi ya 6...
Mkikomaa vizuri mtamaliza juu ya hawa jamaa...
YNWA




Relax