Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hongereni sana kwa kuifunga Chelsea. Mumejitahidi kwa kweli, haikuwa kazi ya kitoto hadi ikabidi Refa hawape nafasi nzuri ili mshinde baada red card.
#CFC 💙💙💙
Hahahahahahahahahaha umerudi tena we mzaramo wa kibada! Hahahahhahaa.

Nilichogundua kwako bwana mdogo. Una mahaba sana na majogoo kuliko kule darajani.

Usajili msimu huu wa majira ya joto unafungwa tarehe 5 mwezi ujao. Njoo ujisajili hapa jukwaani. Andika barua kwenda kwa Mbu na uhakikishe hawa wafuatao wanapata copy. King Ngwaba Malafyale mbabe Captain Marvelous MosDef , Ladder 49 zumbemkuu @ na wengine wote.
 
IMG_9692.jpg

Best front three ever to play in modern Liverpool Club
Wengine wote watasubiri
 
Hahahahahahahahahaha umerudi tena we mzaramo wa kibada! Hahahahhahaa.

Nilichogundua kwako bwana mdogo. Una mahaba sana na majogoo kuliko kule darajani.

Usajili msimu huu wa majira ya joto unafungwa tarehe 5 mwezi ujao. Njoo ujisajili hapa jukwaani. Andika barua kwenda kwa Mbu na uhakikishe hawa wafuatao wanapata copy. King Ngwaba Malafyale mbabe Captain Marvelous MosDef , Ladder 49 zumbemkuu @ na wengine wote.
Mkuu Ziroseventytwo hahaha huyu Ollachuga Oc ni Mzaramu wa Kaskazini kwa vimaneno hajambo😀😀😀😀😀😀😀...

Alisema anajipiga ban mpaka sijui msimu ujao vile.. Hahaha huyu kama ulivyosema ana mahaba mazito mno na majogoo hawezi kujizuia hivi hivi kutotua huu uzi huu mubashara ma bingwa...

Pointi 6 safiiii zimetulia na huku walijitapa mno na usajili wao wa £200m+.....

Hua namwambia awe na maneno ya akiba..

Hahaha tunasajili barua yake🤣🤣🤣😀😀😀😀....

YNWA
 
Ushindi na Usajili ni Kitu kitamu kweli Yani! Nimelalamikia usajili kwa Misimu miwili mfululizo lakini usajili wa ALCANTARA mmoja tu na Ushindi dhidi ya Chelsea pekee umenifanya Nijipige Ban ya Muda kuhusu kulalamikia usajili.

Sasa kilio kitabakia kwa Striker tu.
 
Huyu anayejiita Watery ni wazi kuwa Kichwa chake kimejaa Water/Maji badala ya Akili.
Cha ajabu mpaka leo ukimuuliza ni mshabiki wa Timu gani hasemi anajifanya yeye Si Mshabiki wa Mpira na hana Timu.
Lakini haondoki Vibanda Umiza kufatilia Games za Liverpool na kuleta uchambuzi wa Vituko.
Ongea hoja mzee, we ni mtu mzima ila hoja huna unakimbilia kumuattack mtu tu, mtu asipokuwa mshabiki wa tim ndo akili yake inakuwa sawa ila we japo ni mshabiki akili yako imelemaa,
Kuwa mtu mzima na ongea facts sio unaongea kisa una moyo wa kishabiki

Siku zote mpumbavu atamuattack mtu alietoa hoja kwa matusi na iujiona mjuaji kuliko kuattack hoja kwa hoja,

Kuwa mtu mzima na jaribu kujiheshimu mzee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom