Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Usijali mkuu, Adebayor yuko free
Sisi Timu ya Wananchi wa Dar Young Africans tutawaambia Simba wamsajili Adebayor.
Usijali mkuu, Adebayor yuko free
Weka akiba ya maneno , Usije na matokeo mfukoniTuna wapiga hiyo mechi full time: Liverpool 2 Arsenal 0.
Na hapo ndio itakuwa mwisho wako kupiga kelele humu.
Kuna watu walikuwa kama wewe humu sasa hivi wamekimbia,sitashangaa na wewe jumatatu usiku Baada ya mechi utatoka nduki.
Maana tutakuwa tumewashushia kipigo tayari mko hoi.anfield hapo hamtoki na timu yenu yakutegemea mchezaji mmoja.
Weka akiba ya maneno , Usije na matokeo mfukoni
Usiku wa deni,jiandaeni kisaikolojia,
Monday night

Wewe wasema, ĺakini mimi maana yangu ni kwamba lolote laweza tokeaNaona unaenda Na matokeo yako kabisa pale anfield?![]()
Afadhali Thiago aanze
KabisaaAfadhali Thiago aanze

Suarez kumbe wamefukuzaHawa Barcelona wana matatizo makubwa sana ona walivyokua wanamsukuma sokoni Coutinho kama vile walimchukua bure sasa tena Surez katimuliwa kwa kupigiwa simu hahitajiki tena..
Hii kwangu inatoa picha kwa akina Mane na Salah nk kufahamu sio kila timu watakutana na ma hug ya nguvu ya Klopp huku ofisi yake ikiwa wazi kuwasikiliza mpaka changamoto zao nje wa uwanja..
Hakika Liverpool ya sasa wachezaji wanakua treated with respect hata kama mchango wao ni hafifu uwanjani lakini hujisikia na sehemu ya ushindi kama vile Lovren, Lallana nk...
Barcelona na Real Madrid wamejaa viburi vya aina yake wakishakutumia vyema kwao huna tena faida ama mchezaji akaingia kwa kukosa kiwango hawana muda wa kusubiri..
Poor Surez lol angalau kapata AT all the best kwake..
YNWA
Yaani kwa kupigiwa simu design kama ileee ya Conte na Costa akiwa Chelsea...Suarez kumbe wamefukuza
Huyu Alcantara tumpe Muda Atafloap tu.Ushindi na Usajili ni Kitu kitamu kweli Yani! Nimelalamikia usajili kwa Misimu miwili mfululizo lakini usajili wa ALCANTARA mmoja tu na Ushindi dhidi ya Chelsea pekee umenifanya Nijipige Ban ya Muda kuhusu kulalamikia usajili.
Sasa kilio kitabakia kwa Striker tu.
Nilikuwa napita tu kutoa pongezi japo tunajua nyie ni timu bora lakini kuifunga Chelsea mulitumia nguvu nyingi sana hadi kusababisha red kadi..tukipata muunganiko unaofaa tutaleta shida sana apo EPL.Mkuu Ziroseventytwo hahaha huyu Ollachuga Oc ni Mzaramu wa Kaskazini kwa vimaneno hajambo😀😀😀😀😀😀😀...
Alisema anajipiga ban mpaka sijui msimu ujao vile.. Hahaha huyu kama ulivyosema ana mahaba mazito mno na majogoo hawezi kujizuia hivi hivi kutotua huu uzi huu mubashara ma bingwa...
Pointi 6 safiiii zimetulia na huku walijitapa mno na usajili wao wa £200m+.....
Hua namwambia awe na maneno ya akiba..
Hahaha tunasajili barua yake🤣🤣🤣😀😀😀😀....
YNWA
Sisi huwa tunashinda sita sita tu mkuu ..huyu liverpool tukikutana naye ajipange haswa..Mkuu ulipotea,maumivi yalikuwa makali nn?
😀😀😀😀😀 Chelsea ni timu ya bibi na babu na baba na mama pia. Nawezaje kuwa fan wa liverpool aise...Nimefuta ile ban yangu naendelea na mikakati yangu ya kuhakikisha tunabeba EPL.Hahahahahahahahahaha umerudi tena we mzaramo wa kibada! Hahahahhahaa.
Nilichogundua kwako bwana mdogo. Una mahaba sana na majogoo kuliko kule darajani.
Usajili msimu huu wa majira ya joto unafungwa tarehe 5 mwezi ujao. Njoo ujisajili hapa jukwaani. Andika barua kwenda kwa Mbu na uhakikishe hawa wafuatao wanapata copy. King Ngwaba Malafyale mbabe Captain Marvelous MosDef , Ladder 49 zumbemkuu @ na wengine wote.