Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Unamzungumzia werner yupi
Huyu huyu wa leo anayeshindwa hata tap in???
mtu yoyote anaejua mpira vzr hawezi kuponda performance ya werner leo, kaperform vzr sana kuliko yoyote chelsea
Ata messi kuna mechi si kitu japo akishika mpira unajua kabisa kuwa huyu anajua
 
Kama kawaida mzee wa kuwajaza
JK ni big chawa aisee!
20200921_041943.gif
 
Bayern CEO Rummenigge on agreeing to sell Thiago to Liverpool..
" After a transfer was finalized, I saw Thiago in the parking spot waiting for me . He hugged me for 5 minutes , cried and thanked me for making it possible for him "
Just second after Mane got fouled by Christensen..
20200921-0001.jpg
 
Single game per time
Sasa tunaigeukia mechi ijayo na Arsenal
Itakua meci ngumu sana kwetu lkn sisi tuna Mungu
Liverpool HALISI tushangilie team na tukubali kwa lolote litakalo tokea Jumatatu ijayo
Mungu ibariki Liverpool
 
Single game per time
Sasa tunaigeukia mechi ijayo na Arsenal
Itakua meci ngumu sana kwetu lkn sisi tuna Mungu
Liverpool HALISI tushangilie team na tukubali kwa lolote litakalo tokea Jumatatu ijayo
Mungu ibariki Liverpool
Ni kweli, but we need to maintain positivity

Tusizuie watu kifurahia moments

That is football.... Reasons to celebrate all the time
 
Single game per time
Sasa tunaigeukia mechi ijayo na Arsenal
Itakua meci ngumu sana kwetu lkn sisi tuna Mungu
Liverpool HALISI tushangilie team na tukubali kwa lolote litakalo tokea Jumatatu ijayo
Mungu ibariki Liverpool
Arsenal hajawahi kuwa mpinzani halisi wa liverpool pale liverpool inapokuwa inahitaji ushindi na kuhitajii alama 3, mechi ijayo tutashinda 4+
 
Kweli kabisa, jamaa kauli zake zinanipa mashaka makubwa sana
Hapa tulikuwa na Mapenzi na Undugu kama Wanafamilia wa Liverpool na sio Washabiki. Lakini alipikuja yule anayejimilikisha Timu tu na kuona kama ni Urithi wa Familia yake basi kauli zisizo za kiuelewa zimeibuka.
Mtaje tu

Maana siku hizi hata mimi.nimepunguza kutembea humu maana naona hata wageni wetu wanaokuja humu hawajui soka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom