Jota atakuja akushangaze hata ujio wa mane wanakop wengi hawakuelewa lkn mane alikuja kuwaprove wrong!
Uzi wao jana ulijaa nzi mpaka wakakimbia hahahaha aise tusifungwe kuna watu wanakeraNyinyi Watu munakera kweli! Yani mumekaa kama hamujui kilichomtokea manure.
Hapana watu wawili tofauti kabisa
Nilikuwa huko nimekaa sana ndiyo maana sikuwepo online,sasa merudiKumbe upo bro !
Kampeni za ubunge kule Kyela vipi ?
@Malafyale bhanaHapana watu wawili tofauti kabisa
Nipo JF toka 2010 kwa jina hili hili
Mwana Liverpool HALISI asiye itukana team ikiwa inafanya vibaya,huyo mwingine anaishangilia Liverpool ikiwa inashinda tu


Leo wanangu wa Liverpool tunataka ushindi mnono
Golini kuna kepa ,tunataka Goli 5 na kuendelea
Mkifika karibu na Goli ,pigeni tu
I like this attitudeHapo sijaona wa kutuzuia kushinda, twende hivi Salah tunamkabizi kwa mkata umeme Zouma, apo atembei, uyo Thiago haoana shaka Kante yupo, Mane kina dogo Christensen atafanya kazi yake vizuri, Bob tunajua kachoka uyo tunamwacha aruke ruke uwanjani ..mbele tayari. Kwa Fabihno app kuna Kovavic mzee wa viatu hakuna shaka hapo. Nyuma kabisa tunajua VVDna Allison nj vitobo ivyo Werner na Giroud wataleta tabu ya kutosha na kusababisha penati za kutosha japo sisi tutapenda kuwapiga goli za uwakika hatutaki mbeleko.
Mpira utaisha hivi
Chelsea 3 - Liverpool 1 au 2 kama Salah atapata penati.
#CFC💙💙💙
What do you mean matokeo yoyote?Liverpool HALISI
Tusisahau kuishangilia team leo
Matokeo yyt tuyakubali na tusitukane team
Tuwaache Liverpool maslahi watukane team
HahaaaaaaaaaLiverpool HALISI
Tusisahau kuishangilia team leo
Matokeo yyt tuyakubali na tusitukane team
Tuwaache Liverpool maslahi watukane team



Hella ya jota ni bora wangenunulia Werner, hella nyingi mchezaji wa benchi, upuuzi mtupuEdwards sasa tunaona namna anavyotumia kichwa chake vizuri .
walijua wangeanza kusajili mwanzo sko lilikuwa na ushindani mkubwa hasa Chelsea walikuwa wanasajiri hovyo
Hata wakikuta umevaa jezi mtaani wanakusajiri..!
Saivi mwishoni baada ya team nyingi kukamilisha nakufunga usajiri sisi ndo tunajibebea mafundi kiulainiiii.
Ata sura yake inaonesha ni mchezaj wa kawaida
Una uchungu na hiyo hela zaidi yao!Hella ya jota ni bora wangenunulia Werner, hella nyingi mchezaji wa benchi, upuuzi mtupu
Mkuu huyu Jota ni bench wormer pale Wolves, sijui klopp kaona nini kwake enewei subiri tuone yasije kuwa ya minamino
Pale mimi naona tumepigwa wazi wazi ..hata huyu Thiago ligi itamshinda tu




tumepigwa au mmepigwa, kwan we unashabikia LipuliI never question what Klop likes, kimpira ananizidi mbali sana na ni proven coach, ila hamna asiejua kuwa klop alimtaka werner, na jota kaja kwasababu ya dili la Hoever, yote kwa yote liver sio team ya kumnunua bench warmer kwa bei hyo, though he might surprise me, wachezaji wengi hao akina mane, keita, salah, Jini, wote alowasajili wakaperform sana walikuwa tegemeo kwenye team zaoUna uchungu na hiyo hela zaidi yao!
Wewe na klopp nani anajua anachofanya?
Huyo mwingine ndo cop halisi sasa, kwanza anahudhuria mara nyingi Anfield, anajua kuuchambua mpira utafikiri kazaliwa nao, yupo vzr, sasa wewe Mr. naniliu mpira unaangalia vibanda umiza kama mimi unajiita Liverpool halisi, si dhihaka hiyo?Hapana watu wawili tofauti kabisa
Nipo JF toka 2010 kwa jina hili hili
Mwana Liverpool HALISI asiye itukana team ikiwa inafanya vibaya,huyo mwingine anaishangilia Liverpool ikiwa inashinda tu