Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool HALISI
Tusisahau kuishangilia team leo
Matokeo yyt tuyakubali na tusitukane team
Tuwaache Liverpool maslahi watukane team

Hahahah mwanafyale huwa unanifurahisha sana hiyo code eti Liverpool halisi😆
 
Huyo mwingine ndo cop halisi sasa, kwanza anahudhuria mara nyingi Anfield, anajua kuuchambua mpira utafikiri kazaliwa nao, yupo vzr, sasa wewe Mr. naniliu mpira unaangalia vibanda umiza kama mimi unajiita Liverpool halisi, si dhihaka hiyo?

Hahahahaha
 
Pigeni hao Mbwa darajani palepale. Vunja daraja. Sisi Kama Arsenal Tumekubaliana kubeba sururu na kila kifaa mtakachohitaji kuvunja daraja. Piga hao
Baada ya kuvunja daraja unajua Liverpool mechi inayofuata atakutana nanani?,sasa wewe endelea kujichekesha Liverpool akitoka darajani anakuja kukubaka wewe hadharani.
 
Hapo sijaona wa kutuzuia kushinda, twende hivi Salah tunamkabizi kwa mkata umeme Zouma, apo atembei, uyo Thiago haoana shaka Kante yupo, Mane kina dogo Christensen atafanya kazi yake vizuri, Bob tunajua kachoka uyo tunamwacha aruke ruke uwanjani ..mbele tayari. Kwa Fabihno app kuna Kovavic mzee wa viatu hakuna shaka hapo. Nyuma kabisa tunajua VVDna Allison nj vitobo ivyo Werner na Giroud wataleta tabu ya kutosha na kusababisha penati za kutosha japo sisi tutapenda kuwapiga goli za uwakika hatutaki mbeleko.

Mpira utaisha hivi
Chelsea 3 - Liverpool 1 au 2 kama Salah atapata penati.

#CFC💙💙💙
Hahaha chaliangu njoo Orlando tuangalie hii mechi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom