Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kiukweli Mzee Milner ameitumikia kwa mafanikio makubwa Timu ya Liverpool, ila kwasasa astaafu tu tena. Asisubiri kuja kuadhiriwa na Watoto.
Kwani yule kocha ananini hawa wachezaji?
Hafukuna wanao amini Hendo atakaa bench jana mshipa ulimbana ndomana katolewa

Hivi Milner wa nini na kuna Jones anatakiwa kuonyesha uwezo
 
Dah.!.

TAA & Firmino warudi kwenye ubora wao.
Tupate 1 CB then tukutane Jan.

Captain Marvelous kop. Umemuona Thiago uliyekua unamashaka nae?? Jamaa hajawahi kukosea.
Uwezo sina mashaka mkuu... Akisema Klopp hua sina tena maneno nabaki nyuma ya timu na kumsapoti..

Ishu kuu ni kale kahistoria na majeraha yake pale Bayern 🤔🤔🤔🤔..

Mola hakika awe nae asipate kuumia tuzidi kupata viti adimu..

Imagine pale hajapata training ya pamoja na ka settle vile...

Lol Thiago fundi La Macia wanatisha..

YNWA
 
Umebadili Gia angani 😂😂😂

Nakumbuka kuna siku ulitiririka na Stats hapa za kuonesha Thiago ni Bakayoko wa Kizungu 😁😁😁
Hahaha kama kwa Hendo tunasema Klopp akishasema basi tuwe nyuma ya timu haha itakua kwa Thiago...

Kwa sasa ameshatua namsapoti ashumbulie ubingwa...

Jana ilikua rehearsal naamini ana mambo makubwa yanakuja,..

Mkuu DullyJr na Aaron Arsenal hakika watatusamehe Jumapili sioni wakitoka salama mbele ya ile MF ya jana...

In Klopp i trust....

Stat hukoooo nimezitupa kwenye dustin bin 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀...


YNWA
 
Hahaha kama kwa Hendo tunasema Klopp akishasema basi tuwe nyuma ya timu haha itakua kwa Thiago...

Kwa sasa ameshatua namsapoti ashumbulie ubingwa...

Jana ilikua rehearsal naamini ana mambo makubwa yanakuja,..

Mkuu DullyJr na Aaron Arsenal hakika watatusamehe Jumapili sioni wakitoka salama mbele ya ile MF ya jana...

In Klopp i trust....

Stat hukoooo nimezitupa kwenye dustin bin ...


YNWA
Tutawaacha mtawale dimba la kati , tutavumilia , kisha tutawavizia kaunta
 
Bayern CEO Rummenigge on agreeing to sell Thiago to Liverpool..
" After a transfer was finalized, I saw Thiago in the parking spot waiting for me . He hugged me for 5 minutes , cried and thanked me for making it possible for him "
Just second after Mane got fouled by Christensen..View attachment 1575726
Wow kumbe jamaa this was his dream move lol... Yaani katupenda mwenyewe of course working with Klopp is a dream come true kwa wengi...

YNWA
 
Tutawaacha mtawale dimba la kati , tutavumilia , kisha tutawavizia kaunta

Fabinho akipiga CB basi Auba anageuzwa Werner.
Niwe mkweli sijawahi kumuogopa Striker kama ninavyomuogopa Auba na Ndiyo Siri ya kila ushindi wenu.
Kwa Gomez huwa anamuoneaga sana ila kuna Kiumbe anaitwa Fabinho alimfanya Werner aonekane Molinga 😂😂😂
 
Milner ingawa alipewa 2years lakini huu ndo msimu wake wa mwisho. Mwakani anaenda Leeds United au Aston villa au hata Newcastle timu zake Za zamani.
Tutegemee hawa labda wakauzwa kabla dirisha halijafungwa.
OX chambo
Grujic
Wilson
Woodburn
Shaqiri
GINI kama kweli koeman anataka.
Brewster au Origi ila hawezi kuuza wote. Mmoja ndo atauzwa na likely Brewster.
Kwahiyo Kuna kama £100 iko njiani kuingia kwa hayo mauzo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom