permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,333
- 15,049
Kwamba unaamini Klop akiondoka Liver haiwezi kuwa na kocha mzuri tofauti na huyo Pep??Ukitoa Pep ,kocha gani mwenye uwezo wa kumreplace Klopp?
Tuache utani jamani
Kwamba unaamini Klop akiondoka Liver haiwezi kuwa na kocha mzuri tofauti na huyo Pep??Ukitoa Pep ,kocha gani mwenye uwezo wa kumreplace Klopp?
Tuache utani jamani
hii pumba hata nguruwe hawezi kula
halafu kocha uwe wewe?
Endelea kutesekaMlibahatisha epl, corona iliwasaidia
Sasa Kama nyie wanaume, ngoja tuwaone this season
Kama asrenal anawasumbua subili kuona mengine
Point 9 huu mwezi lazima mdrop
Leed
Arsenal
Chelsea
Then na kikos chenu cha kuunga unga,
Ukitokea Sub zimeisha halafu Kipa kapewa red card huyo mjamaa ndo kipa wetuHugo MTU ameshacheza namba zote nafkiri hadi refa ameshawahi kuwa

Nani huyo ?Ni flop muda mrefu, sema uwezo wa timu ndio ulikuwa unambeba.
The begining of the END.
Definitely true.. Nionavyo mimi its like as days goes by ni kama vile now other teams are mastering the art of sustaining our danger wing back boys and cooling the MF inakua toothless ... This was done vs AT, Vs Blades, vs Everton, na vs Gunners twice...I agree with you.
mimi mwenyewe natamani sana tuwe na depth particularly kwa ajili ya kuleta ushindani (not cover) vs starters (esp for the likes of Bobby, Mo, Millie, Gini, Hendo) ambao kuna games wanakuwaga vimeo kupindukia.
kama ujuavyo Klopp's style ina thrive on "dark artists" manning the midfield, with creativity coming from elsewhere.
sina uhakika kama Thiago is a dark artist... but we'll see.
napata uoga sana kui disrupt ile midfield ya sasa. if it ain't broken, why fix it? they do have an off day occasionally (like today) but who doesn't?
vijana wanahitaji kujifua intensively huku mwalimu akiwafunda kisaikolojia wasahau mambo ya last season, basi!
Endelea kuteseka
Hayo yote kisa hii statement. The Begining Of The ENDEndelea kuwa na tamaa za Fisi
Msimu ukianza musije anza kulialia tu sijui mara VAR, mara Michael Oliver
Mara next season is your last season na blah blah blah nyingi.
Mark my words, "Chelsea haiwezi kumaliza Ligi juu ya Liverpool". Haya maneno nitakuja kuyapost kwenye Uzi wenu siku nitakayokuja.



Fabby is class man... Shinda ni Klopp ataona asisajili CB mwingine ili ku accommodate fit again Hendo na Fabby awe ana deputise CB lol..ila fabinho ni mashine ile . dk zile za mwisho alicheza beki ya kati vizuri kuliko hata joe gomez
Hayo yote kisa hii statement. The Begining Of The END![]()
Arsenal ndo wa kumlalamikia Mikel maana game hii arsenal walikuwa wanaimaliza mapema sema vile vitoto havijatulia kabisa vimekosa goli karibia tatu.Tatizo lenu mnadhani mna binge la timu ambayo haitakiwi kupoteza kwa namna yeyote ile,si kweli kabisa. Mnavyoichambua Liverpool utadhani Barcelona ya xavi,iniesta na messi kumbe in timu ya msimu mmoja tu.
Timu isipofanya vizuri wakati mwingine toeni credit kwa mpinzani wenu kuwa wamejua namna bora ya kukabiliana nanyi kimbinu. Suala la kuanzisha watoto, hata arsenal alijaza watoto. Msitafute mchawi timu yenu ni ya kawaida mno tu.