Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Huyu angepelekwa kwa mkopo mchangani akueakue lool asije kuwa kama Red Cafu 😂😂😂😂😂....ni upuuzi utadhani mchezaji wa ndanda..
YNWA
Huyu angepelekwa kwa mkopo mchangani akueakue lool asije kuwa kama Red Cafu 😂😂😂😂😂....ni upuuzi utadhani mchezaji wa ndanda..
ila fabinho ni mashine ile . dk zile za mwisho alicheza beki ya kati vizuri kuliko hata joe gomezHuyu angepelekwa kwa mkopo mchangani akueakue lool asije kuwa kama Red Cafu 😂😂😂😂😂....
YNWA
kwahiyo arteta hajawahi kushinda mechi hata moja?Dah adi Arteta anawafunga.!
a word to the wise... tuwekeni akiba ya maneno.
nakumbuka baada ya Coutinho kuuzwa, watu tuliibeza sana midfield yetu.
kilichofuata? 4 big trophies!
hata kabla ya kuanza season iliyopita nakumbuka watu tulim criticise sana Klopp kwa kutosajili creative playmaker.
kilichofuata? EPL tuliimiliki kiaina and we left the once so called immortal ManCity in their wake!
Arteta ni average coucher anamfungaje World Classic Coucher kama Klopp.? Hii ni aibu sana.kwahiyo arteta hajawahi kushinda mechi hata moja?
anatakiwa kufungwa na nanii??Arteta ni average coucher anamfungaje World Classic Coucher kama Klopp.? Hii ni aibu sana.



ila fabinho ni mashine ile . dk zile za mwisho alicheza beki ya kati vizuri kuliko hata joe gomez
Klopp anapaswa kufungwa na makocha wazito wazito kama Simeone, Pep, Lampard na sio Arteta, hii ni aibu kubwa kwake.anatakiwa kufungwa na nanii??
Tutaheshimiana sasaNiseme ukweli kuikosa hii ngao nimeumia sana




lampard? kocha mzito? ana hata kombe la uji? hata huyo arteta kamshinda.Klopp anapaswa kufungwa na makocha wazito wazito kama Simeone, Pep, Lampard na sio Arteta, hii ni aibu kubwa kwake.
Lampard kapewa timu ikiwa imepigwa ban ndo anasuka kikosi chake sasa ..subiri Muda kidogo.lampard? kocha mzito? ana hata kombe la uji? hata huyo arteta kamshinda.




basi ni average coachLampard kapewa timu ikiwa imepigwa ban ndo anasuka kikosi chake sasa ..subiri Muda kidogo.