Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nawashangaa mashabiki wa Liva mnavyolumbana kuhusu kiwango chenu cha leo wakati Arsenal alikosa wachezaji wake wengi muhimu wa kikosi cha kwanza.

Watu wanamlaumu Gini, wengine Milner na wakati huo huo wachezaji wote walikuwepo kwenye benchi kasoro TAA tu!

Arsenal wangemlaumu nani?

Usijisifu unambio, msifu na anaekukimbiza!

Wote walistahili kushinda lakini imetokea Arsenal kastahili zaidi.

###
 
Nilisema tokea msimu uliopita, nina wasiwasi kama Liver ana uwezo wa kuchukua kombe lolote kwa sasa. Klop alipaswa kuondoka ili kuruhusu kocha mwingine aje na generation mpya.
Ukitoa Pep ,kocha gani mwenye uwezo wa kumreplace Klopp?

Tuache utani jamani
 
a word to the wise... tuwekeni akiba ya maneno.

nakumbuka baada ya Coutinho kuuzwa, watu tuliibeza sana midfield yetu.
kilichofuata? 4 big trophies!

hata kabla ya kuanza season iliyopita nakumbuka watu tulim criticise sana Klopp kwa kutosajili creative playmaker.
kilichofuata? EPL tuliimiliki kiaina and we left the once so called immortal ManCity in their wake!
 
Nilisema tokea msimu uliopita, nina wasiwasi kama Liver ana uwezo wa kuchukua kombe lolote kwa sasa. Klop alipaswa kuondoka ili kuruhusu kocha mwingine aje na generation mpya.
hii pumba hata nguruwe hawezi kula
halafu kocha uwe wewe?
 
Neco williams.. leo kazingua sana.

Alikuwa anaacha gap kubwa sana,
Sasa imagine huyu ndio immediate back up wa Trent na leo honestly he has failed to provide angalau hata robo of the usual stuff we get from TAA...

Defenders are driven by natural instincts wanajua when to run and when not to.. And also knowing and sniffing danger behind his back ambayo leo Auba wa getting the best of the boy..

Its a tough call to fill the shoes of the dangerous Trent but he got to at least show us he is equipped to give that kind of performance week in week out..

YNWA
 
ni upuuzi utadhani mchezaji wa ndanda..
 
a word to the wise... tuwekeni akiba ya maneno.

nakumbuka baada ya Coutinho kuuzwa, watu tuliibeza sana midfield yetu.
kilichofuata? 4 big trophies!

hata kabla ya kuanza season iliyopita nakumbuka watu tulim criticise sana Klopp kwa kutosajili creative playmaker.
kilichofuata? EPL tuliimiliki kiaina and we left the once so called immortal ManCity in their wake!
Winning is addictive and am more than certain leo Klopp was here for a win bro..

But we got to accept Milner Gini MF is a failure on a night we dont have TAA dictating the assist arena...

Game hii angemfaa Keita aanze at least when Neco is struggling to chip in proper closses basi Keita is a more of a creator than Gini or Milner basi Keita angesaidia to open that stubborn well calculated approach ya Gunners...

Well dirisha la usajili unafungwo mpaka 5th/Oct basi Klopp na hawa washua wake watakua wameona umuhimu wa kununua wachezaji wa kubadili kikosi kua na new cutting edge...

Nilikua aganist Thiago joining us ila sasa ki ukweli am in support as long as he bring that mojo we are lacking in the middle of the park basi aje tu...

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom