Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Lakini kwa hesabu izopiga hapa mana yake ni kama Timu yetu haitumii gharama yoyote katika kuiendesha that's Why unazungumza as If hela yote tunayoingiza haitumiki inabakia kwenye Account kama ilivyo.

Sasa sijui Mishahara ya Wachezaji na other Staff, Posho, Kodi, Umeme, Maji, Ukarabati wa Viwanja na Majengo, Usafiri, na gharama nyengine za uendeshaji huwa zinalipwa na nani kama mapato yote yapo hayajatumika.
Na pia Faida wanayogawana Shareholders itakuwa inatoka wapi?
mimi ninaamini mapato jinsi yanavyoingia ndiyo yanavyotoka kwa ajili ya amatumizi.
Hizo gharama zote zilikuwepo wakati tunawalipa lalana lovren na Clyne mishahara. Na hizo 175 mil p za ubingwa ni faida pamoja na gharama zote hizo kuwepo. So sio ishu hiyo. Ni kubalance mambo tu. Messi apigane tu mkataba wake wamuachie bure uone kama hata Leeds hawajamtaka. Sababu kwa salary peke yake timu KIBAO zitajitutumua. But barca wakishinda hizo vurgu zao NA bei ikabaki 600 pound basi wengi watanyweA.
 
Sajili nyengine sio kamari bali ni uzembe wa Wazi,
Timu inatoa £100M+ kwa Joao Felix ikisha unaita Kamari?
Ni sawa na kutoa £75M kwa Kepa au £50M kwa Chillwel ikisha ukasingizia kamari.
Sema ATM wamewapiga Chelsea kwa Kepa wacha nao wapigwe kwa huyo felix maana 100 m hawkautakiwa kutoa kabisa. Ilitakiwa iwe 45 fulani hvii
 
Hii timu Haina tofauti na Wigan kweny upande wa kusajili.

Bora kusajili kama Wigan kuliko kupigwa kwa hela ndefu kwa Wasioeleweka kama kina Moratta, Bakayoko, Kepa na Chilwell.

Yani Chelsea muna sifa ya kutukuka kwenye kupigwa
 
Klopp on Community Shield: "We had 2 weeks training and the boys worked really hard. We are preparing for one of the most intense season of our lives."

Ivi hapa kwenye "The Most Intense Season Of Our Lives" Klopp hasa amemaanisha nini?

NOTE: Sijakusudia Tafsiri ya hayo maneno bali kama yupo anaeelewa nataka anifahamishe lile alilokusudia mpaka akasema hivyo.
 
Muhuni tu anatuchora, kama anajua hivyo kwa nini asifanye usajili?
 
Klopp on transfers: "There's a long way to go until the 6th October. We will see how much we can or want to spend, these kind of things." #LFC
 
Klopp on transfers: "There's a long way to go until the 6th October. We will see how much we can or want to spend, these kind of things." #LFC

Kama utayasoma hayo maneno ya Klopp aliyoyasema kwenye Press Conference leo basi utagundua wazi kuwa Jamaa kumbe anataka sana kusajili lakini hajawezeshwa na FSG.
Hivyo hapo ni sawa na kuwa anatuambie Mashabiki Tuwe Wastahamilivu tusubiri mpaka October tuone FSG wataamua nini kwenye usajili.
 
Nashauri asitolewe kwa Mkopo awe kila game anapewa japo dakika 20 ili kumjenga uzoefu zaidi.
Dogo namtabiria mema sana.
👇👇

Klopp on Brewster: "In the moment he is (part of my plans). We will see what happens. We want to use Rhian but we want to help Rhian too. He's still a young boy. For a No 9 experience helps a lot. It's not decided yet. No need to rush, he's our boy. He will be involved tomorrow."
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom