Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hakuna haja ya kulaumu front 3,tatizo kubwa limeonekana katika viungo, wamecheza taratibu sana na hawakuwa na ubunifu wa kutengeneza nafasi kwa washambuliaji.
Viungo wetu hua sio watengezaji ndugu, hua tunategemea LB na RB ambapo kwa leo angalau LB alijitahidi ila kwa huyu back up wa TAA ni kituko anacheza kama mchangani...
Zaidi ya mara 4 alikutwa out of position sema tu Arsenal hawakua makini kupiga counter upande wake chap naamini magoli yangekua mengi...

Its scary when EPL champion can be that clueless guys...

YNWA
 
am personally not worried at all.

mara nyingi (si mara zote), it's natural kwamba timu inapokuwa league champion, season inayofuata huwaga ni slow starter. it's the absence of immediate hunger from the players due to post-coronation hangover but it's the gaffer's responsibility to instill it back quick.

am sure we will be good and we're favourites to retain the EPL.

kwa upande mwingine, let's give credit where it's due. Arteta is quite a good tactician. tusimchukulie poa kabisa.
remember he beat us in the league last season and he beat ManCity & Chelsea in the FA Cup - he's that good.
I like the way he sets his team up (I see him as a Mourinho & a Pep rolled into one - his team defends as a unit and attacks en masse).
for me if he will manage to get his charges play like that consistently, he's an EPL title contender next season.
Contenders mkuu M-mbabe hilo is one big hell of a call..
Mikel is proving he is a force to reckon with now sustaining that for one whole season is the main challenge...

Hongereni sana sana DullyJr na Aarons Arsenal sherehe njema ndugu zangu...

YNWA
 
Viungo wetu hua sio watengezaji ndugu, hua tunategemea LB na RB ambapo kwa leo angalau LB alijitahidi ila kwa huyu back up wa TAA ni kituko anacheza kama mchangani...
Zaidi ya mara 4 alikutwa out of position sema tu Arsenal hawakua makini kupiga counter upande wake chap naamini magoli yangekua mengi...

Its scary when EPL champion can be that clueless guys...

YNWA
Neco williams.. leo kazingua sana.

Alikuwa anaacha gap kubwa sana,
 
Been calling out Firmino since November last year, guys, this man is washed up.

I am truly appreciative for what he has provided for all these years, and with all due respect, I call upon Klopp to make transfer on one striker of our caliber.

We will talk about Salah after first few games of the coming season.
 
Nilisema tokea msimu uliopita, nina wasiwasi kama Liver ana uwezo wa kuchukua kombe lolote kwa sasa. Klop alipaswa kuondoka ili kuruhusu kocha mwingine aje na generation mpya.
 
Been calling out Firmino since November last year, guys, this man is washed up.

I am truly appreciative for what he has provided for all these years, and with all due respect, I call upon Klopp to make transfer on one striker of our caliber.

We will talk about Salah after first few games of the coming season.
It is crystal obvious. It was a huge mistake to let Timo slip off of our hands. We needed him so damn much. Salah has been slow and Mane undecisive.
 
It is crystal obvious. It was a huge mistake to let Timo slip off of our hands. We needed him so damn much. Salah has been slow and Mane undecisive.

We had all cards in our hands to sign him, it wasn't a slip rather we let him go.

I get the feeling that this will come home to roost.

Let's stay put.
 
Tatizo lenu mnadhani mna binge la timu ambayo haitakiwi kupoteza kwa namna yeyote ile,si kweli kabisa. Mnavyoichambua Liverpool utadhani Barcelona ya xavi,iniesta na messi kumbe in timu ya msimu mmoja tu.

Timu isipofanya vizuri wakati mwingine toeni credit kwa mpinzani wenu kuwa wamejua namna bora ya kukabiliana nanyi kimbinu. Suala la kuanzisha watoto, hata arsenal alijaza watoto. Msitafute mchawi timu yenu ni ya kawaida mno tu.
 
Adjustments.jpg
problem solved
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom