Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,025
- 27,365
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Haya ni mawazo yako eti nawewe uheshimiwe!! Haya sawa endelea kuchangia hoja zakoHujamuelewa Ngwaba na Hujanielewa Mimi pia ndio maana umekuja na spidi kubwa sana,ukweli in kwamba hata Norwich INA washabiki Ila wachache sana kucompare na timu kama Liverpool,Arsenal na Manchester united na ukweli usiopingika mashabiki wengi was Chelsea na Man city ni MAPLASTIKI NA WASAKA USHINDI.