DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Unaweza ukawa vizuri sana katika masuala mbalimbali,lakini huwezi kuwa vizuri kwa kiwango kilekile katika maeneo yote,lazima kuna eneo utakuwa vizuri zaidi na eneo lingine ukawa wastani na kwingine ukawa boya tu,We jamaa kumbe hujui lolote ..
Mimi Liverpool mwenzio Hadi nasikia aibu na
Unayayosema...
EPL Tanzania imeanza kutazamwa miaka mingi sana kabla Dstv haijafika..
Uliza kina Pascal Mayalla waliofanya kazi Dtv..
EPL ilikuwa inaoneshwa bure kabisa Dtv Hadi ITV baadae...
Chelsea ina mashabiki Tz wakati huo ni title contenders ma Star wao kina Ruud Gullit baadae akawa kocha na kina Torre Andre Flo na Zola...walikosa ubingwa kidogo Tu baada ya flo kuumia...
Liverpool kulikuwa na mnyama anaitwa Stan Collymore unamjua?Unayajua mambo yake?
Enzi hizo hapa hapa Tz mpira tunatazama EPL bila kulipia kingamuzi..
Newcastle ya Keegan unaijua?
Middlesbrough's ya Ravaneli unaijua??
Ushauri wangu: Acha kabisa kuzungumzia soka,hulijui utajiaibisha....bora uwe mpenzi msomaji....
Kwahiyo hapo kwa kipindi cha dtv na ITV Chelsea ilikuwa na mafanikio gani?
