Tunaweza kutofautiana kimtazamo ndugu ila wote tunataka mafanikio kwa timu yetu that the beuaty of football...
Nani auzwe nani anunuliwe wanaamua wao kulingana na mahitaji ya timu na nchezaji kua willing ku join na timu yake kua willing kuuza..
ila hili la hawa ma pancha kwangu naona linatunyima a competing edge full throttle mpaka mickey trophies..
Hio taasisi ndio aliwaleta akina Klavan, Karius, Solanke, ambao ni mediocre signings hivyo hata chini ya Klopp huyu guru walichemka ku kutamani kusajili wachezaji quality ni ku maintain status competing at the highest level na kuleta mafanikio zaidi...
Kutetea ubingwa EPL sio a walk in the park to be precise hii itakua ngumu kuliko last season that why its my own wish kuona proper recruitment kumpa mwalimu different dynamics tofauti na sasa ambapo ni 4 3 3 all weeks..
Sio ndoto yangu kuona Klopp heading the Shankly way mpaka akatemwa na timu just because Shankly failed to supplement his aging squad because they were his red army and they had won so much.
We need proper recruitment ku support hawa waliopo na wawe young may be 22 to 25yrs ili they take over as this warriors age.. Hio ndii itatupa continuity na kutuokoa yaliowakuta Arsenal, Manchester United, Barcelona nk
YNWA