Unachopaswa kufahamu kila mchezaji hufanya makosa ila pia tunaangalia na rate ya makosa kwa kila gemu na pia mchezaji anaisadiaje timu ktk mechi muhimu. Forward yetu mpaka dakika ya 95 ilifunga goli 2 and was enough to make us qualify next stage, Becker conceded 3 goals at camp nou and got screen sheet at anfield so unataka kunambia barca wanafoward mbovu? No Becker alijua hii gemu ni muhimu kuruhusu goli hata moja ni hatari, utakumbuka barca walihitaji goli moja tu ili wafuzu na wangeli-score yale magoli 4 we scored yasingelikuwa na maana kabisa. Kama uliona vizuri coutinho alipeleka kishutu pembeni kisicho na nguvu lkn kilikuwa na madhara makubwa mno, Becker alikuwa mbali lkn alikunjua utadhani kaumbwa kwa elastic material mpaka akauziia that ball kuzama nyavuni, hapa ndo tunatoa credit kwa wachezaji wanaokuwa serious ktk gemu muhimu kama hizo.