Penison
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 6,372
- 12,529
Ni tajie huyo Goalkeeper wa Big club like Bayern,Barcelona Juve ,Real ,PSG anayeweza kukubali kuwa Backup kukaa Benchi nusu ya msimu mzima.Wanakop tunakwama wapi? Sawa hatuwezi kupata starting goalie kutoka big clubs kama barca, Bayern, juve, real au PSG ndo tukaokote kipa aliyekosa timu tena hata midtable club kama west ham imeona hafai hata kwa backup, liver ndo angefaa? Gerald ana heshima kubwa liver lkn ilifika muda akaondoka pale anfied ije kuwa Adrian?
Halafu Adrian sio mchezaji wa kwanza kufanya Individual Error Liverpool Becker huwa hafanyi Errors, Van Djik huwa hafanyi Errors, Salah huwa hafanyi Errors na wao pia tuwatafutie Backup team like Bayern, Barcelona, PSG.
Adrian kwa uwezo wake amejitahidi tumpe Respect.
