Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC haiwezi kuwa kubwa kama washabiki tunavyotaka iwe.

Matajiri wanatuangusha.

This time with genius Klopp was supposed to be the time we dominate Europe and The World.

Very unfortunately, FSG have different mission, to make super normal profit out of this.

Kama tungekuwa tuli address swala la creative mid mapema, Atletico wasingetutoa, hii UEFA iko so open, tungefika mbali.

Kama tutaendelea na kiburi chetu cha kutumia mashambulizi kutoka kwa TAA na Robertson, tusahau UEFA, tuendelee kupambana PL peke yake, hata FA ni ngumu kwetu kwa sababu game za mitoano tactics ni nyingi na ni rahisi watu kushutdown mfumo wako kwa sababu unatumia style moja tu.

I hate to admit kwamba UEFA itakuwa mlima kwetu kama tunaendelea na usajili kama huu.
 
Well said man..

Let's see kama bila kuuza this guys can put solid cash to buy the players Klopp want..

FSG ni waumini wa sell first and buy later..

Hapa watakua behind the scenes wanajaribu pengine kuwauza akina Shaqir, Origi, Wilson, Grujic nk... Ili huo mkwaja waje wanunue wachezaji.. Shinda ni pale muda ni mchache mno..

Kwa sasa ni kusubiri ndugu hamna namna..

Ukweli ni kwamba Klopp needs a new dimension uwanjani without necessary awaiting miracles from TAA na Robbo.. He need a serious AM who can operate on either flank with a scissor type kind of last pass to unblock teams kama A. Madrid..

Hilo lipo wazi mno but muda utasema..

YNWA
 
kwanini tulienda dk 120 in the first place?....... mkuu mimi simtetei Adrian yule ni another karius yes, ila ukweli unabaki pale pale ile timu yetu yote ilifail big time!

kule spain wakishindwa hata shuti moja golini, yaani wakitoka SIFURI (zero kabisa)!...... Anfield ndani ya dk 90 za mchezo goli moja tu then tuseme tulikua bora?

over two legs hatukua bora ndio mana tukitolewa, tusijifiche kwa Adrian mkuu wangu!........ kama ni kutafuta upgrade ya Adrian sawa tutafute lkn hilo liwe baada ya ku-upgrade kule mbele na mido.....

tunahitaji wabunifu kwenye mido zaidi ya hendo na gini, tunahitaji striker muuaji akapambanie namba na kina firmino...... failure to do that next season tutakua hapa kumlaumu mbuzi wa kafara mwingine maana our darling lovren kaondoka

Timu nzima ilitufelisha, wakati naangalia ile game, kuna mdau nilikuwa nimekaa naye nikamwambia kwamba Adrian siyo mzuri wa kurudishiwa mipira (hili hata Alisson siyo mzuri, ila anajitahidi), na kwa jinsi kina VVD walivyokuwa wanarudisha mipira hovyo nikasema kuna goli hapa litakalotokea kwa sababu ya huu uzembe.

Ikaja kuwa kweli.

Ila jumba bovu lazima lipate wa kumwangukia.
 
Agreement between #Liverpool and #Alcantara. Liverpool and the player have reached an agreement over 4 years. The player even announced his departure to England to some of his teammates. Alcantara already found his house. Liverpool and #Bayern must finalize the deal. #RMCsport
 
Well said man..

Let's see kama bila kuuza this guys can put solid cash to buy the players Klopp want..

FSG ni waumini wa sell first and buy later..

Hapa watakua behind the scenes wanajaribu pengine kuwauza akina Shaqir, Origi, Wilson, Grujic nk... Ili huo mkwaja waje wanunue wachezaji.. Shinda ni pale muda ni mchache mno..

Kwa sasa ni kusubiri ndugu hamna namna..

Ukweli ni kwamba Klopp needs a new dimension uwanjani without necessary awaiting miracles from TAA na Robbo.. He need a serious AM who can operate on either flank with a scissor type kind of last pass to unblock teams kama A. Madrid..

Hilo lipo wazi mno but muda utasema..

YNWA

I am telling you, we will not get there, kwa UEFA hatutaweza.

Timu tuliyokuwa nayo this time ungeweza kusema ni timu bora ya wakati wote, lakini tunakumbuka performance yake UEFA kwenye makundi tunafungwa ovyo, tuna draw kizembe zembe. Tatizo ni kwamba EPL had poor teams this season, ndiyo maana hata aliyekuwa mpinzani wetu City katolewa kizembe kama tulivyotoka sisi, Chelsea na Tottenham same same tena kwa aibu.

UEFA haihitaji ujanja ujanja, lazima tuwe na timu kama tunataka kufanya vizuri kwenye hiyo avenue. Tuna kila sababu ya kuwa katika level hiyo, kifedha timu iko vizuri, tuna kocha bora sana kwa kipindi hiki, tuko katika level amabyo hakuna mchezaji anayeweza kutukataa, tuna Nike as our sponsor.

Huu ulitakiwa uwe ni wakati wetu.
 
Haya karibuni leo usiku by 10:00 AM litapigwa kabungu moja la mabingwa wa kihistoria na pia anayewawakilisha mashindano ya ulaya kwa sasa. Msikose kuja kuangalia pressing za hatari
 
Timu nzima ilitufelisha, wakati naangalia ile game, kuna mdau nilikuwa nimekaa naye nikamwambia kwamba Adrian siyo mzuri wa kurudishiwa mipira (hili hata Alisson siyo mzuri, ila anajitahidi), na kwa jinsi kina VVD walivyokuwa wanarudisha mipira hovyo nikasema kuna goli hapa litakalotokea kwa sababu ya huu uzembe.

Ikaja kuwa kweli.

Ila jumba bovu lazima lipate wa kumwangukia.
kabisa mkuu, we have to admit it japo inauma sana
 
huyu dogo naomba sana afanikiwe aiseee,.......

nitaumia sana akiishia njia ya wilson, rossiter, chirivella, kent, suso and ofcourse ben woodburn..............
Naye hamna kitu ni Origi mchangamfu ni overrated tu
 
Haya karibuni leo usiku by 10:00 AM litapigwa kabungu moja la mabingwa wa kihistoria na pia anayewawakilisha mashindano ya ulaya kwa sasa. Msikose kuja kuangalia pressing za hatari

Tutakuja mkuu, sisi washabiki wa Sevilla tuna uhakika wa kushinda mechi asubuhi tu.
 
Maskini Sterling alisema anakwenda kushinda makombe makubwaaa sasa anakwama wapi kweli kukosa sitter kama ile seriously...

Sterling is also cursed guys...

My weekend just got better..

Msimu huu Manchester City wametoka na vi mickey cup viwili tu Carabao na Community Shield hahahaha...

YNWA
Ahhahahahahaaà
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom